MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Acha tu wateseke kwa sababu hawakulazimishwa kufanya mapenzi kabla ya ndoa labda kama alibakwa ndo tunaweza kumwelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadhi ndio wameolewa je umewahi kuangalia namna wanavyoishi kwenye ndoa zao?uhandsome ni nini? uzuri wa mtu upo machoni pa mtu na kila mtu ana machaguo yake na uzuri tunaona huko mtaani single mazas wanaolewa kila leo tena na mahandsome na wenye hela zao
acheni kuwafanya single maza wajiskie vibaya bhana
Daktari hii comment yako inachoma sana....,na huo ndio ukweli!Jidanganye......only loosers can feel happier in single motherhood state.
Huu usia binti yng akianza kujitambua nimepanga kumkalisha chini na kumpaHili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu.
Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke.
Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii.
Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini Kamwe wasizae kabla ya Ndoa.
Ukizaa kabla ya Ndoa ni Doa kubwa maishani mwako.
Jamii yote unakuona wewe ndio Mzinzi kuliko hata shetani hata kama ulifanta mara moja tu.
Ukipata Mwanaume anayekupenda akagundua tu una Mtoto basi naye atajitahidi kukufariji ili akubandue lakini hata kuoa.
Yaani wewe unakuwa ni mpenzi wa waume za wengine( hawala).
Wazee waliochoka mtaani ndio wanaojitokeza kukutongoza tu maana umeshuka thamani.
Ewe Dada, Ewe Mama Mdogo. Ewe Shangazi yangu....kuwa makini na hili jambo.
Uwe na Elimu, Uwe na Pesa au na Hadhi gani epuka hili doa.
Hili doa linatesa wengi maskini, matajiri na wenye vyeo.
kuna wengine wanapenda tuSawa hatujasema hawaolewi .......tumawashauri hawa wadogo zetu wasija kuingia huko. Ni Kubaya.
uzazi ni tofauti na mengineSasa nikisema ukipata form 4 zero uwezekana wa kuwa jaji mdogo sana ni ninakuumiza au nakwambia ukweli.
Hakuna mwanaume aliekamilika na kapangilia maisha yake anataka kuwa na single maza .binadamu anapenda vizuri .
Iko hivyo mkuuWanachakatwa vibaya sana.
Wengi wanachakwtwa na waume za watu na wazee
Duh! Kwa hiyo sie sura mbaya wetu ni single mazas tuu😭😭😭😭Yap wanaolewa na waliofiwa na wake au wasio mahandsome
Mpe Mkuu kama unampenda mwanao aishi maidha ya Furaha huko mbeleniHuu usia binti yng akianza kujitambua nimepanga kumkalisha chini na kumpa
Hizi pia ni tabia zaoU single mama deal, anawapanga vidume km watano hv ,jumlisha baba mtoto wa sita , wote mnamuhudumia bila kujua
Hahahaha ifike mahali tuambiane Ukweli. Watu wengi hawasemi Ukweli na ndio wanadanganya vijana wetu.Daktari hii comment yako inachoma sana....,na huo ndio ukweli!
Basi endelea kuamini hivyo hivyo.Sidhani hata kama wanakusiliza, mie nadhani single maza wao hawana shida kabisa cz si anajijua yuko na nini alifanya
Shida iko kwetu kuwaona wao wamekosea kumbe mtu alipanga kuzaa
HahahaaaWapo wengi mno humu ndani.Subiri waje utakoma
MnoNi hatari sana
Mzee ukamtema? Ulikosea sanaNilichogundua huwa hawafikirii mbali. Yaani wanajiaminisha kuliko kiasi. Nilidate na mdada fulani wakati huo ndio najitafuta. Basi yaani huwezi amini mimi ndio nilikua nazijua days zake kuliko hata mwenyewe. Najua lini date danger. Ila yeye anapuyanga tu kisa kafa kaoza.
Siku amekonsiv ndio anaanza nijitambulishe kwao mara oh ushaniharibia maisha.
Kimoyoni nikajisemea si mimi wakupelekeshwa hivi.
Nilimtema kweupe na mimba yake.
Shika la Mungu muumba wako. Yeye ndiye mwenye ramani ya maisha yako[emoji120]Mbona tusiozaa tunaitwa Tasa huku mtaani[emoji16]tunaambiwa tuzae tu tulee wenyewe maana mtoto ndiyo ndugu,
Sasa tushike lipi??