Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

Nipe mkuu elimu ya siku ya hatari kwa mwanamke hii imenipita kushoto
 
Kabla hujamkojolea alikiwa wa maana mpk siku zake unazijua wewe ila baada ya mkojo na matokeo ya bao ukamtema na kutuonhezea single maza mtaani
 
Vita ni kali sana alafu hapo hapo mtu anaongeza na mkopo kausha damu
 
ni wajeuri sana, huku tarime ukizalia nyumbani kabla ya kuolewa, huwezi tena kuwa mke wa kwanza
hiyo ni cheti ya kuwa mke mdogo
 
Habari za muda huu wanajukwaa, naombeni nichangie kwa uchache.
Tuweke mihemuko pembeni twende kwa hoja, kuna sababu nyingi sana kufanya dada zetu kuwa single mama 1:umasikini wa familia zao [kutopata mahitaji kwa wakati] 2:kufiwa na wenza wao [waliozaa nao] 3:wanaume waliozaa nao kuwatelekeza kwa kisingizio cha life halijakaa sawa [muda bado] 4:tamaa za maisha makubwa 5:kubakwa etc.
Sioni kama ni sahihi kumhukumu mtu bila kujua kilichomsibu mpaka kufikia hapo.
NB:MAISHA YANA MAPITO MENGI NA SIRI NYINGI
 
Wanawake ni viumbe waliokosa akili, hawana tofauti na wanyama Pori.

Unakuta anakomalia kabisa, Mimi hii mimba naitaka, nataka nizae mtoto. Bila ya kufikiri chochote kilichopo mbele yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…