Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #201
KabisaShika la Mungu muumba wako. Yeye ndiye mwenye ramani ya maisha yako[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaShika la Mungu muumba wako. Yeye ndiye mwenye ramani ya maisha yako[emoji120]
Unafunga nao wapi?Single maza tunafunga nao mwaka
Nipe mkuu elimu ya siku ya hatari kwa mwanamke hii imenipita kushotoNilichogundua huwa hawafikirii mbali. Yaani wanajiaminisha kuliko kiasi. Nilidate na mdada fulani wakati huo ndio najitafuta. Basi yaani huwezi amini mimi ndio nilikua nazijua days zake kuliko hata mwenyewe. Najua lini date danger. Ila yeye anapuyanga tu kisa kafa kaoza.
Siku amekonsiv ndio anaanza nijitambulishe kwao mara oh ushaniharibia maisha.
Kimoyoni nikajisemea si mimi wakupelekeshwa hivi.
Nilimtema kweupe na mimba yake.
Kabla hujamkojolea alikiwa wa maana mpk siku zake unazijua wewe ila baada ya mkojo na matokeo ya bao ukamtema na kutuonhezea single maza mtaaniNilichogundua huwa hawafikirii mbali. Yaani wanajiaminisha kuliko kiasi. Nilidate na mdada fulani wakati huo ndio najitafuta. Basi yaani huwezi amini mimi ndio nilikua nazijua days zake kuliko hata mwenyewe. Najua lini date danger. Ila yeye anapuyanga tu kisa kafa kaoza.
Siku amekonsiv ndio anaanza nijitambulishe kwao mara oh ushaniharibia maisha.
Kimoyoni nikajisemea si mimi wakupelekeshwa hivi.
Nilimtema kweupe na mimba yake.
Alifanya kosa kubwa sana. Amemwachia Doa la kudumu mwenzake na hajali hisia zakeKabla hujamkojolea alikiwa wa maana mpk siku zake unazijua wewe ila baada ya mkojo na matokeo ya bao ukamtema na kutuonhezea single maza mtaani
Inasikitisha yeye anajiona mwamba au ndouanamume lakini anasahau damu yake ndoinakwenda teseka incase huyo dada alichoose kuilea hiyo mimbaAlifanya kosa kubwa sana. Amemwachia Doa la kudumu mwenzake na hajali hisia zake
Ni shida sana aiseeInasikitisha yeye anajiona mwamba au ndouanamume lakini anasahau damu yake ndoinakwenda teseka incase huyo dada alichoose kuilea hiyo mimba
Noma sana mkuuzamani binti anaulizwa wewe ni "bikira" lakini sahivi anaulizwa "unamtoto"
Kibao kimegeuka.......hahahaNoma sana mkuu
😂 great thinker kwenye moja na mbilizamani binti anaulizwa wewe ni "bikira" lakini sahivi anaulizwa "unamtoto"
ni wajeuri sana, huku tarime ukizalia nyumbani kabla ya kuolewa, huwezi tena kuwa mke wa kwanza
hiyo ni cheti ya kuwa mke mdogo