Nimejifunza kutokumwamini Mtu, au kuweka Imani na matumaini kwa BinadamuHabari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.
Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.
NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.
Hakika amelaaniwa amtumainiye mwanadamu.........Nimejifunza kutokumwamini Mtu, au kuweka tumaini na matumaini kwa Binadamu
1. Adui au anayekuumiza huwa ni mtu wa karibu.Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.
Hakika ndugu......Nilijifunza kuwa siku inaweza kuwa kama mwaka mzima
Kabisa, hasa NduguHakika amelaaniwa amtumainiye mwanadamu.........
Baba yangu aliwahi kuniambia kuwa kamwe huwezi kujua kuwa dunia ina mambo mpaka likukute jambo.....Kabisa, hasa Ndugu
Unapopitia nyakati ngumu kiuchumi unatakiwa usilete unyonge nyumbani......sio unashinda tu nyumbani.....Ulo sahihi, nilihisi kabisa mwanamke wangu ameanza kupoteza taste kwangu kisa sina mchongo kipindi kile. Nilitamani kumwacha ila nikasema navumilia labda aniache yeye, ila kama kumwacha ntakuja nimwache wakati niko vizuri.
Usitufanyie hivyo bas boss wangunilijifunza tu kuwa sina marafiki nina watu wengi nna watu tu nnaojuana nao
😂😂 u mean zina tulia hapo kupiga kambi hazina mpango wa kusepaNimejifunza kwamba nyakati ngumu azidumu bari zina kaa
Familia ni kila kitu watakua na wewe kwenye kipindi ambacho kila mtu atakuacha.Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.
Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.
NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.
Sure man ,fanya hima msaidie, mwanaume akilia jua kisu kimegusa mfupaUkiona rafiki yako anakucheki ile serious ana hali mbaya au anatafuta mishe kama liko ndani ya uwezo wako msaidie
Umesema vyema mkuuSure man ,fanya hima msaidie, mwanaume akilia jua kisu kimegusa mfupa
Daah pole sanaa.. Ndo maisha ya ndoa na mahusiano yalivyoo yanaumiza sanaaNilitumia nguvu, akili, pesa kujenga maisha ya ndoto yangu familia ya ndoto yangu..
Nilipo pita Nyakati ngumu kila kitu nilichokuwa nacho kilipotea kuanzia mali, mke na watoto.
Inauma sana..
Sasa nipo peke yangu nimerudi kukaa gheto walah kutoka nyumba zima self.!
Kwangu maisha hayana maana naishi ishi tu.
Mtu kukusaidia si lazima hata kama uliwahi kumsaidia....Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.
Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.
NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.
Wewe ni WA muhimu,Nilitumia nguvu, akili, pesa kujenga maisha ya ndoto yangu familia ya ndoto yangu..
Nilipo pita Nyakati ngumu kila kitu nilichokuwa nacho kilipotea kuanzia mali, mke na watoto.
Inauma sana..
Sasa nipo peke yangu nimerudi kukaa gheto walah kutoka nyumba zima self.!
Kwangu maisha hayana maana naishi ishi tu.
Aiseee I can relate... Mungu ni mwema mzee mi nimeamua kuanza step by step na nimeanza na watoto tayari nimewachukua, at least kichwa kimetulia kutafuta pesaNilitumia nguvu, akili, pesa kujenga maisha ya ndoto yangu familia ya ndoto yangu..