Umejifunza au ulijifunza jambo gani kipindi unapopitia au ulipopitia nyakati ngumu maishani mwako?

Nilitumia nguvu, akili, pesa kujenga maisha ya ndoto yangu familia ya ndoto yangu..

Nilipo pita Nyakati ngumu kila kitu nilichokuwa nacho kilipotea kuanzia mali, mke na watoto.
Inauma sana..
Sasa nipo peke yangu nimerudi kukaa gheto walah kutoka nyumba zima self.!
Kwangu maisha hayana maana naishi ishi tu.
 
Habari za muda huu wapendwa.

Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.

Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.

Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.

Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.

NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.
Nimejifunza kutokumwamini Mtu, au kuweka Imani na matumaini kwa Binadamu
 
Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.
1. Adui au anayekuumiza huwa ni mtu wa karibu.

2. Siyo kila shida au tatizo unaweza kuitatua (Usiumize sana kichwa)

3. Acha asili (nature) ichukue nafasi yake.

4. Kwenye matatizo ndiyo kuna fursa kama ukituliza akili.

5. Jithamini na kujipenda kwanza wewe kisha wengine wafuate.

Huyu babu alinisaidia sana!

Ulo sahihi, nilihisi kabisa mwanamke wangu ameanza kupoteza taste kwangu kisa sina mchongo kipindi kile. Nilitamani kumwacha ila nikasema navumilia labda aniache yeye, ila kama kumwacha ntakuja nimwache wakati niko vizuri.
Unapopitia nyakati ngumu kiuchumi unatakiwa usilete unyonge nyumbani......sio unashinda tu nyumbani.....

Unatakiwa kwa muda huo ukiwa unasikilizia mambo yako........fanya kazi yoyote iliyo mbele yako ili uweze kutatua mambo madogo madogo hapo home..........

Mwanamke ni kiumbe dhaifu na muoga.....ukimuambia kuwa huna kazi akili yake inaogopa na anawaza mbali sana.....
 
Habari za muda huu wapendwa.

Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.

Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.

Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.

Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.

NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.
Familia ni kila kitu watakua na wewe kwenye kipindi ambacho kila mtu atakuacha.
 
Nilitumia nguvu, akili, pesa kujenga maisha ya ndoto yangu familia ya ndoto yangu..

Nilipo pita Nyakati ngumu kila kitu nilichokuwa nacho kilipotea kuanzia mali, mke na watoto.
Inauma sana..
Sasa nipo peke yangu nimerudi kukaa gheto walah kutoka nyumba zima self.!
Kwangu maisha hayana maana naishi ishi tu.
Daah pole sanaa.. Ndo maisha ya ndoa na mahusiano yalivyoo yanaumiza sanaa
 
Habari za muda huu wapendwa.

Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.

Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.

Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.

Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.

NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.
Mtu kukusaidia si lazima hata kama uliwahi kumsaidia....
 
Hakika nimepata faraja, ila wanawake sijui ni viumbe wa aina gani?.

Nimeamka sina kitu zaidi ya 5000 mfukoni nikamwambia mwanamke kuwa sina kitu ila 5000 kaniomba hiyo 5000 akanunue mboga ya siku nyingine (siku hiyo ilikuwepo), kwa madai kuwa yeye ana hela atanipatia.

Imefika muda wa kuondoa chombo nikaweke mafuta niingie kutafuta riziki, namuomba pesa anasema "Hivi ni kweli huna pesa?, mimi nilijua unatania."

Yaani nilikasirika, kagundua akaniambia eti akauze ile mboga ili anirudishie pesa yangu, (si aibu hizi jamani?)

Nilimuangalia tu nikakaa kimya, kazurula karudi bila kitu anajichekecha chekesha tu, mimi nina hasira zangu hapo aiseee. 😥😥😥
 
Nilitumia nguvu, akili, pesa kujenga maisha ya ndoto yangu familia ya ndoto yangu..

Nilipo pita Nyakati ngumu kila kitu nilichokuwa nacho kilipotea kuanzia mali, mke na watoto.
Inauma sana..
Sasa nipo peke yangu nimerudi kukaa gheto walah kutoka nyumba zima self.!
Kwangu maisha hayana maana naishi ishi tu.
Wewe ni WA muhimu,
Angalia mbele.
 
Nilitumia nguvu, akili, pesa kujenga maisha ya ndoto yangu familia ya ndoto yangu..

Nilipo pita Nyakati ngumu kila kitu nilichokuwa nacho kilipotea kuanzia mali, mke na watoto.
Inauma sana..
Sasa nipo peke yangu nimerudi kukaa gheto walah kutoka nyumba zima self.!
Kwangu maisha hayana maana naishi ishi tu.
Aiseee I can relate... Mungu ni mwema mzee mi nimeamua kuanza step by step na nimeanza na watoto tayari nimewachukua, at least kichwa kimetulia kutafuta pesa
 
Back
Top Bottom