peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Mke wa Samuel Sitta, Mke wa Mahiga, Mke wa Dr Mvungi, Mke wa Mafuru, Mke wa Membe, Mke wa Patel, Mke wa Asasi, Mke wa Beno Nduru, Mke wa Balali, orodha ndefu sana.1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Mke wa Sarungi, mke wa Gissima ( Tanesco)Mke wa Samuel Sitta, Mke wa Mahiga, Mke wa Dr Mvungi, Mke wa Mafuru, Mke wa Membe, Mke wa Patel, Mke wa Asasi, Mke wa Beno Nduru, Mke wa Balali, orodha ndefu sana.
Jibu ni rahisi sana Dunia Ina jinsia ya kike, Jua , Mwezi vyote jinsia ya kike, Dunia ni Mali ya viumbe na vitu vyenye Majira.
Sisi wengine ni kwa ajili reproduction purpose basi mengine ni bonus
Wagane ni wachache kuliko wajane😭😭😭1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
RuksaaUkifiwa na mume! Unaruhusiwa kuolewa?
Mbona hao,wameziba maskio?Ruksaa
Yeyote mkuu.Endapo Nina miaka 30 nikao mwanamke Ana miaka 20 je kisayansi atatangulia kufa nani ?.
OkYeyote mkuu.
Hairuhusiwi abadani ndio maana hao wote kwenye orodha hawajaolewa.Ukifiwa na mume! Unaruhusiwa kuolewa?
Mmh hata sijuiMbona hao,wameziba maskio?
Ukiibuka na mmoja hapo,unausahau umaskiniMmh hata sijui
Iyo list ni ya wazee wa zamani, kwa kipindi chao mwanaume alikua anaoa mke ambae amemzidi miaka mingi kwaiyo hata sequence ya vifo probability ya mwanaume kutangulia inakua kubwa zaidiWagane ni wachache kuliko wajane😭😭😭