Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

Yule wa JK , ninamwaza sana!
 
1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Ndoa utapeli....remain single, eat punene
 
Wote ni Mama za watu kama alivyokua Mama wako.

Pia, ni wake wa Viongozi wa kutoka serikalini.

Mengine yote ni porojo zisizo na tija.

Ww pena Mama yako anaitwa mke wa nani😇😇😇😇 na yumo kwenye orodha gani?
Soma #26
 
Ukijifanya bingwa wa kumwaga lazima ufe mapema jitahidi ubanie manii yako utumie kuzaa tu ukitaka kuwaridhisha eti na yeye akojoe umeisha. Kama huamini mcheki jirani yako anavyotembea kama Isuzu imekata sentabolt
 
Dhana ya ujane ndiyo inayo trend tangu kale wajane wanatajwa sana hata kwenye biblia mistari yao ipo ila wagane hawavumi sana labda ni very rare kwa kuwa wanaume ndio hutangulia kufa zaidi kuliko wake zao
 
Mama Samia atawale aisee…
 
1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Nimejifunza kuwa wake za marais ni waaminifu sana...

Mke wa billgate
Mke wa Manara
Mke wangu 😭
 
Nimejifunza kwamba, Mungu anatupa maisha marefu wanawake ili tuweze kufurahia miaka yetu ya mwisho duniani bila kero na mahangaiko!
Life expectancy average kwa takwimu za kidunia kwa mwanaume ni 79 na mwanamke ni 73. Kwaiyo wanaume ndio wanaishi maisha marefu.

Kwenye suala la ujane na ugane kwenye ndoa za wazee wetu ni kwa sababu kipindi chao wanaume walikua wanawazidi miaka mingi sana wake wanaowaoa, kwaiyo uwezekano wa mwanaume kutangulia unakua mkubwa zaidi
 
Asasi wako wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…