Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

Laughable πŸ˜‚ Naomba source ya takwimu zako maana kila data na tafiti nilizoziona zinaonyesha ulichosema ni uongo.







 
Laughable πŸ˜‚ Naomba source ya takwimu zako maana kila data na tafiti nilizoziona zinaonyesha ulichosema ni uongo.

View attachment 3303181

View attachment 3303182

View attachment 3303183

View attachment 3303184
Mada imelenga kipengere cha mjane na mgane, yaani wanandoa ambao mmoja wao katangulia kufa. Tena ninkatika jamii zetu za kiafrika wewe unakuja na takwimu za ujerumani na marekani. Sababu kubwa ya mwanaume kutangulia ni tofauti ya umri kati ya mume na mke sio upendeleo wa Mungu kama ulivyosema.
 

Lakini umefatilia hao wanaume zao walikufa na miaka mingapi na umefatilia kujua umri walionao hao wajane ?

Mfano Nyerere alikufa na late 70 na Leo mama maria Ana late 90

Umeona ?

Hapo hoja ni life expectancy .

Ukimtoa Mkapa aliyefariki na 80+ Ila hao wengine hawakufika 80+

Kwahiyo kuna utofauti wa kuishi umri mrefu kati ya mwanamke na mwanaume.
 
Gharama za kuwatunza wooote hao ni za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…