Umejifunza nini kutoka kwa hakimi baada ya kutua mahakamani na kuonekana mali zake zote alimuandikisha mama ake miaka kadhaa

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Pole sana Wanawake mnaosubiri mtalakiane na Mme wako afu mdai talaka mwisho mgawane mali.

NIMEPENDA HII YA KIJANA (HAKIMI) kama ujaipata ifuatilie......
InShot_20230415_182823065.jpg
ume
 
Pole sana Wanawake mnaosubiri mtalakiane na Mme wako afu mdai talaka mwisho mgawane mali.

NIMEPENDA HII YA KIJANA (HAKIMI) kama ujaipata ifuatilie......
View attachment 2588823ume
nimejifunza wanawake kwenye ndoa hawana wanachotafuta zaidi ya kugawana mali tu... sasa huyu dada anasemekana ni tajiri mkubwa kwa nini atakae kugawana mali ?
 
Pole sana Wanawake mnaosubiri mtalakiane na Mme wako afu mdai talaka mwisho mgawane mali.

NIMEPENDA HII YA KIJANA (HAKIMI) kama ujaipata ifuatilie......
View attachment 2588823ume
NA SIYO KILA MAMA UKIFANYA KAMA ALIVYOFANYA HAKIM,KWA KUMPA PESA NA MALI ZAKE ZOTE AWE NAZO YEYE ,ETI UTATUSUA

MAMA WENGINE SANA SANA WA KIBONGO UKIFANYA HIVYO ITAKULA
KWAKO......
HUYO MAMA YAKE HAKIM ANA MAPENZI YA DHATI KABISA KWA MTOTO WAKE
NASEMA HIVI MAANA NSHAONA KWA MTU WANGU WA KARIBU NA AMBAYE TUNAJUANA YALISHAMKUTA

ova
 
Back
Top Bottom