Membe yupo sahihi. Amefikiria hatima ya wagombea ubunge na udiwani kupitia act wazalendo.
Kabisa Yan membe ameonesha kuwa ni mroho wa uraisKama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.
Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu
Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.
Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
Mimi nijuacho Membe yupo kwenye mission kubwa ambayo for 70% I think he did those mission for Lissu but most of audience doesn't know the sequence of mission because kabisa wachache wanaliona hili dakika ya 89 atasema anamuunga mkono Lissu
Hahaa...dakika ya 89 atanuka
Maana tayari kasha guswa
Kabisa Yan membe ameonesha kuwa ni mroho wa urais
Na bado anaimani Anaweza kuwa rais sijui hiyo nguvu anapata wapi
Hajafanya kampen ajafanya anything then Leo anawaza kuwa rais
Inahitaji uvumilivu wa hali ya juu...
Mchezo wa kitoto uleule uliowafanya wababa wazima kupiga deki lami 2015 ndio unaenda kurudiwa na starring tofauti tu πSijamwelewa anasema wametangaza kumuunga mkono Lisu kama individuals co chama?huyu hajatumwa kweli huyu
Membe yuko kwenye missionMembe sijui ana rangi gani huyu , kijani kichwani na kwenye ubongo na damu halafu zambarau imekaa tu kwenye ngozi kama alivyo Zitto . Wanafahamiana hawa jamaa ππππππ
Nilivyomsoma membe kwa jicho la ujasusi ni kwamba ataenda kumuunga lissu kwenye kampeni akianza......Membe hawezi kugawa kura hata kidogo...Hawezi kugawa kura za lissu hata kidogo.....Membe atacheza ligi kama za kina Mama Anna Mgwira au Chief Lutayosa Yemba au Hashim Rungwe.Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.
Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu
Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.
Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
Membe apate kura za wapi??Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.
Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza waziwazi kwamba wanamuunga mkono na watampigia kura mgombea wa CHADEMA mhe. Lissu kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na inavyoonekana mheshimwa Membe atakuwa keshafanya vikao na viongozi wake wakuu wa chama na kuwakatalia kwamba hatamuunga mkono mhe. Lissu
Ninachokiona ni kwamba mheshimiwa Membe ana uchu sana na madaraka au anataka kugawa kura za upinzani hata baada ya kukosa mvuto kwa wananchi lakini bado anang'ang'ania kwamba ataiangusha CCM katika uchaguzi huu kitu ambacho ni ndoto za mchana.
Sasa ni dhahiri kuwa ACT hawakupiga hesabu zao vizuri walipompokea mheshimiwa Membe, walidhani angekuwa Asset lakini sasa amekuwa Liability!
Na ni mgombea anaehitajika kwa wakati huu kuliko mgombea yeyoteHuwez kupendwa na kila mtu ila T. Lissu ni mgombea bora zaidi kwa sasa.
Kuna utoto mwingine walioufanya CCM na TLP bango likatengenezwa na CCM. Watoto wamezidi siku hizi.Mchezo wa kitoto uleule uliowafanya wababa wazima kupiga deki lami 2015 ndio unaenda kurudiwa na starring tofauti tu π