Uchaguzi 2020 Umejifunza nini kwenye mkutano wa Membe na waandishi wa habari?

"Mtawajua kwa makovu yao"
 
upepo umempepelusha
 
Nimegundua kwenye maswali ya muhimu aliyokua anaulizwa anatumia ubabe sana kuyajibu kwa kua yemlenga katikati ya mstari wa ikweta. Chakubanga style.

Anaulizwa maswali na yeye anamuuliza muuliza maswali. Hivyo mda unapotea mwishowe kaulizwa maswali machache. Anamu intimidate muulizaji.

Halafu anajibu kirahisi rahisi.
Anaulizwa Zitto katangaza kugawa kura kwa Lissu eti jibu ni "hayo ni maoni yake Zitto na kwani aliemu indorse ndio amekua Raisi tayari" What a nonsensesical response.

In short either hajui kujibu maswali vizuri au hana majibu ya maswali ametahayari na uchu wake wa madaraka mda woote kapoooa eti imebaki week ndio apige kampeni. Weee umeona waaapi
 
Ulishawahi kutana na binti aliyekataliwa na mchumba wake dakika za mwisho za kufunga ndoa?
 
Dilly dallying tacts kumchanganya adui
Membe Ni lissu tu
 
Hahaha Membe anayo ratiba ya kufanya kampeni kama wagombea wengine, cha ajabu haendi alikopangiwa anataka waandishi wampigie kampeni yeye arudi Rondo kulala.

Aliyoyaeleza kwanini asiyaeleze majukwaaani alikopangiwa na tume ya uchaguzi?!

Anaita waandishi halafu anawaambia yeye ni mgombea wa urais wa JMT kupitia ACT, really?!
 
Yeye ni mgombea hawawezi muunga mkono lisu atakuwa amevunja sheria ya uchaguzi aka seifu si wagombea bara na wanamuunga mkono individually
 
Unaijua v80 wewe....sisi tunatembelea magari hayo Hadi katibu wa ccm wa wilaya...[emoji3166]
Hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje hawa
 
Hiyo dakika ya 89 atafunga hilo goli kwa wachezaji gani alionao? hayo mazoezi ya hiyo mechi aliyafanyia wapi? au atamnunua refa?
Ikitokea TL akashinda na kukawa hakuna namna basi njia pekee ni kutafuta mgombea mwenye msimamo wa wastani ili akabidhiwe kijiti - rejea uchaguzi wa DRC Tschisekedi hakuwa chaguo

Sasa kwa kuwa aliyechaguliwa alikuwa na msimamo mkali (Martin Fayulu) akatoswa na kutangazwa mwingine. So, duniani kuna mengi usishangae
 
Hujui kitu membe anamuunga mkono Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…