Uchaguzi 2020 Umejifunza nini kwenye mkutano wa Membe na waandishi wa habari?

Mmeshaanza kulialia mwishowe mtasema mmeibiwa kura..St..u.p.id..nendeni zenu mtuache wananchi tumeshaamua Nini tutafanyaje Octoba 28
 
Huwez kupendwa na kila mtu ila T. Lissu ni mgombea bora zaidi kwa sasa.
Jomba ubora unaupima kwa kutumia Nini...usichanganye Mambo..sema mgombea wa upinzani Bora..fananisha hao huko usifananishe na viongozi mahili wenye Nia thabiti kabisa ya kulisukuma Taifa hili mbele kwa mbele
 


Malaika ni hawa akina Magufuli aliyekupua mashamba ya watu kule Tanga ?? au Mwinyi aliyekupua mashamba ya watu Morogoro ekari 60 000 au yule Mkapa aliyekupua mashamba ya watu ekari 60 000 na kujiuzia mgodi. Au mwenzetu umerithishwa baadhi tu ya vijiekari vya Mkapa alivyoviacha ??
 

Membe alikuwa chambo tu.... sasa chambo ikanasa kadagaa imebidi muweka chambo akarudishe kadagaa ziwani... chambo haina kazi tena. wamekuja kugundua kwamba chadema wako serious na wanachotaka, wamedhamiria kweli kweli.... sasa hiyoinawaumiza sana kichwa.
 
Akiwa amefungwa ngapi sasa. Kachero mbobezi bwanaa
Dakika ndizo zitakazo amua nani atamaliza na bao nyingi ukifunga 3 dakika ya 25 na 30 na 45 Dakika ya 89 ukajapigwa 6 huwezi shangilia tena kuwa ulishinda
 
kaeleza kwa maono yake,lakini kwani mara nyingi wapinzani hawataki kupokea na habari negative
 
Nimemsikiliza mwanzo mwisho. Hoja anazozungumza mfano naki, uhuru; masuala makubwa anyozungumza mfano uhusiano wa kimataifa, uchumi, vyote hivi Lissu anavizungumza.
Kwa mwenye kupima vizuri anamuunga mkono Lissu indirectly japo ni mgombea.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna cha kujifunza pale zote ni propaganda, tens za kawaida sana kwa wenye macho matatu. Sure halisi ya membe itajulikana wiki hii baada ya kuanza kampeni zake kwenye mkoa kumi.
 
Ukiwa na akili utagundua. Membe amezungumza mengi sawa na Lissu. Kuna muda kasisitiza zaidi kusini kama sehemu atakayoshawishi. Na unaona pia Lissu haendi huko na Membe hagusi anakoenda sana Lissu. Kimantiki mkakati ni mmoja. Visiwani jukumu ni la Seif, kusini Salum Mwalimu na Membe; kanda nyingine Lissu, na kigoma na kiujumla Zito. Kwenye kata ni wabunge na madiwani wanahusika zaidi wakisaidiwa na wabunge hasa wale maarufu.
Juu wanaangalia zaifi msimamo wa Lissu ambae kwa kweli ujasiri wake umewapa nguvu sana. Kuna pia kupena nguvu hapa na pale. All in all kuna kazi inafanyika na imetisha wa upande ule.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Unahitaji akili kubwa sana kumwelewa Membe....kifupi wanacheza na akili za NEC na yeye atakuwa back bench kuhakikisha ushindi wa ACT Zbar na CDM Bara....then watampa bonge la cheo..
 
Hivi Membe huyuhuyu ambaye wenzie kule ccm waliomba msamaha ila yeye kakomaa hadi akatimuliwa kwenye chama ndio huyuhuyu et akubali tu kumuunga mkono Lissu kirahisi hivyo?

Huyu mtu kuutaka kwake urais ndio uliyofanya hadi kafukuzwa huko ccm halafu et sasa mtu uamini kabisa anaweza kukubali kumuachia Lissu?
 
Kwako mwalimu Kashasha.................
 
Nimejifunza: kula mihogo ilitajwa na Dr. Slaa 2015 na kutangaza kujitoa UKAWA, na sasa 2020 B. Membe kazungumza kula mihogo
 
Membe anaijua hii nchi, hawezi kumuunga mkono kibaraka
 
Nimejifunza kuwa 2015 ugomvi wa Upinzani mihogo ilihusishwa na Dr Slaa na 2020 mihogo imehusishwa na Watanzania.

Kwa hiyo mihogo ni chakula Cha masikini kwa mujibu wa Dr Slaa na Kachero B. Membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…