ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,197
Jack mjinga na selfish.
Kama alifuata mali hakupaswa kutaka mali zote pekee yake ili hali mtu ana familia nyingine angeweza kutafuta ka mradi km billion 5 tu aombe kawe kake mali nyingine Zote awaachie familia yake.
Kwa ujinga wake akadhani anaweza kumlaghai nyani mzee aliyekwepa mishale mingi..Hivi ingekuwa rahisi kumdhulumu Mengi ,Mengi angekuwa tajiri vile??yule mtoto wa mjini?Wana networks nyingi na wanajua michezo michafu mixer kulindwa na chawa kama wote.
Tajiri km mengi anakitengo kabisa cha usalama wa mali zake sio mtu ambaye unaweza kumpa uchi leo hlf kesho ukakwapua mali zake zote..Hivi utajiri wa level ya mengi ni wakuibiwa kijinga jinga
Yule jack akakwapua chake mapema kabishara km billion kadhaa na nyumba moja basiiii angeishibmjini vzr bila kuwekeana uhasama na mtu.