UMEJIUNGA LINI JAMII FORUMS NA KIPI HUTOSAHAU

sido9797

Senior Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
160
Reaction score
84
Binafsi nilijiungaa nikiwa kidato cha tatu mwaka 2013,niliifahamu kupitia youtube kwa sababu youtube ndio ilikua sehemu yangu ya kupatia maarifa,kujua habari zamichezo na siasa za nchini mwangu,afrika mashariki, africa na duniani kiujumlaa.....

Lakini nilipofika form five nilikaa shule miezi sita nikasahau password ilinilazimu kubadili kila kitu ili niendelee kuona mawazo mbalimbali humu jf baada ya miezi sita tena nikawa nimeingia form six,nilivyofika form six nilikaa mwaka mzimaa bila jf !wala kurudi nyumbanii hivyo sikuitumia lakini password nilidhihifadhi na mpaka sasa imenisaidia kujua mambo mengi kisiasa kiuchumi kiutamaduni na kijamiii ...

JE wewe umeijulia wapi? jamii forums,lini? Kwa nani?,na kipi hutosahau jf?na una muda gani nayo? kama hutojali imekusaidia vipi katika maisha yako ya kila siku katika nyanja zote za maisha yetu.

Am a member for 5yrs !niko univesity bd nafurahia jamii forums??.........@#[emoji1]
 
2015[emoji3][emoji3][emoji3]
 
nimeanza kuperuzi jf as the guest tangu nikiwa form v 2007 ila kuwa member ni 2017..
 
Rekebisha kumbukumbu zako vizuri mkuu JF imeanzishwa 2008 ikiitwa jamboforums..mimi nilianza kuperuzi as a guest 2013 lakini nkajiunga rasmi 2015
 
me nmejiunga may 28 2018 baada ya kumaliza six, nikaona ndio kipindi kizuri kuwa JF.
 
Back
Top Bottom