Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

Black Opal

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
233
Reaction score
298
Wazee wa maakuli, leo tunauanza mwaka mwaka mpya, naamini uko mzima wa afya.

Tumeuanza mwaka na msosi gani leo?

Mimi nimepiga ndizi bukoba na dagaahapa safii, utamu unafika hadi kisogoni.

ndizi.jpg
 
Nilianza na kula neno la Bwana kwenye mkesha wa mwaka mpya...

Baadaye kulipokucha maisha yakaendelea kama siku zote kwa kunywa chai, mchana ugali ndondo na usiku kipunga dagaa...
 
Asubuhi kiazi kitamu na maji, mchana buffet la Ramada saa hizi beer baridi
 
Back
Top Bottom