Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

Swali la kizushi ila limenigusa mie leo nilienda site Kibaha walikuwa wanachimba msingi nikala na mafundi ugali nyama na mboga za majani. Sasa hivi niko Micasa nimeagiza kitimoto [emoji23]

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Kitimotooooo... Yani huyuu mpuuzj kweli alilaaniwaa maana ni mtamuu balaaa
 
Swali la kizushi ila limenigusa mie leo nilienda site Kibaha walikuwa wanachimba msingi nikala na mafundi ugali nyama na mboga za majani. Sasa hivi niko Micasa nimeagiza kitimoto [emoji23]

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hapo micasa angalia tuu usije fungua mwaka na malaya kifuani.
 
Back
Top Bottom