Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Mkuu Jan 1,umeanza na Dagaa na ndizi na ukasema watamu.😀😀😀Wazee wa maakuli, leo tunauanza mwaka mwaka mpya, naamini uko mzima wa afya.
Tumeuanza mwaka na msosi gani leo?
Mimi nimepiga ndizi bukoba na dagaahapa safii, utamu unafika hadi kisogoni.
Wala ndizi bukoba wanaelewa hii combo, uliza wakupe jibu.... ni nomaMkuu Jan 1,umeanza na Dagaa na ndizi na ukasema watamu.😀😀😀
Afu dagaa wana ubaya gani kwani Mkuu?😂😂😂Mkuu Jan 1,umeanza na Dagaa na ndizi na ukasema watamu.😀😀😀
Hii imeenda MkuuView attachment 2859401
Ribs & Wine Drostdy Hof red.
Sijasema wana Ubaya..January week ya kwanza usifungue na Dagaa kabisa..😀😀Afu dagaa wana ubaya gani kwani Mkuu?😂😂😂
Acha hizo mkuu, nimekula kitu roho inapenda... afu huku hakuna vibudu kama huko kwengineSijasema wana Ubaya..January week ya kwanza usifungue na Dagaa kabisa..😀😀
Noma sanaPilau kuku, ova
Mpaka nimetamaniBiryani ya Bata mzinga.
hivi sio vyakula vya kudownload?View attachment 2859401
Ribs & Wine Drostdy Hof red.
Acha wivu Mkuu, lete tuone chako umpikuhivi sio vyakula vya kudownload?
Umenza makasiriko mapema hivi Mkuu, Utakufa kwa stress kabla mwaka haujasogea kokoteUTOTO UMEZIDI SHULE ZIFUNGULIWE