Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi sijamaanisha hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]sijamaanisha hilo..ila hongera sana
Mkuu kwa mwenye kisukari asithubutu kula nanasi wala ndinzi mbivu. Na akitaka kujua madhara yake na apime sukari Kisha ale ndizi kipande kidogo tu,Kisha baada ya dakika 5-7 toka ale apme Tena aone hali ipoje.Ni tunda la msimu kula tani yako..hakuna shida kiafya lakini kiimani tunafundishwa kuwa na KIASI kwenye kila kitu...Madhara mengine labda kuvimbiwa[emoji23]
Mnada wa wapi!?Aise, nitaenda mnadani leo, nimemiss matunda
Aah kumbe . [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mku
Mkuu kwa mwenye kisukari asithubutu kula nanasi wala ndinzi mbivu. Na akitaka kujua madhara yake na apime sukari Kisha ale ndizi kipande kidogo tu,Kisha baada ya dakika 5-7 toka ale apme Tena aone hali ipoje.
Asubuhi ya leo nimekula matunda haya zabibu,papai,chungwa, parachichi,kipande kidogo Cha ndizi,fenesi na komamangaAah kumbe . [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Lazima likuume mkuu,hayo matunda mawili ya chini Yana asili moja na Yana baridi isiyo faa kwa afya ya tumbo kuyala kwa pamoja. kuyachanganya si njema.Ndiyo niliyo kula ila tumbo linaniuma kweli sijui yalikuwa matetaView attachment 1935592
Itakuwa kweli!!!Lazima likuume mkuu,hayo matunda mawili ya chini Yana asili moja na Yana baridi isiyo faa kwa afya ya tumbo kuyala kwa pamoja. kuyachanganya si njema.