Umekula tunda gani leo?

Umekula tunda gani leo?

Nimekula embe ng'ong'o sijui nyie mnaita jina gani
20210911_160035.jpeg
 
Ahsante mkuu.tiba Ni matunda au majani au mzizi? Nielekeze kuhusu kiungulia Kuna binti yangu kiungulia kinampa tabu Sana kiasi kwamba anakuka mlo mmoja TU kwa kuogopa gesi na kiungulia
Mizizi unachemsha lakini kama ni matunda unakula tuu
 
Back
Top Bottom