Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,488
- 3,338
Nimekula embe ng'ong'o sijui nyie mnaita jina gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mtanga?Nimekula embe ng'ong'o sijui nyie mnaita jina ganiView attachment 1944067
Vinaitwaje please tiba ya tatizo gani BrotherLishe + tiba
Wewe mtanga?
Ahsante mkuu.tiba Ni matunda au majani au mzizi? Nielekeze kuhusu kiungulia Kuna binti yangu kiungulia kinampa tabu Sana kiasi kwamba anakuka mlo mmoja TU kwa kuogopa gesi na kiunguliaKwa kiswahili sijui kwakweli ila ni tiba ya kiungulia na gesi tumboni
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Kipande cha nanasi, sijanunua...nilipewa zawadi [emoji39]
Mizizi unachemsha lakini kama ni matunda unakula tuuAhsante mkuu.tiba Ni matunda au majani au mzizi? Nielekeze kuhusu kiungulia Kuna binti yangu kiungulia kinampa tabu Sana kiasi kwamba anakuka mlo mmoja TU kwa kuogopa gesi na kiungulia
Ahsante sana mkuuMizizi unachemsha lakini kama ni matunda unakula tuu
Ahsante Mkuu upatikanaji wake nahisi mtihani.yanaitwaje hayaTafadhali tafuta hiiView attachment 1952266
Matumanti kwetu tunayaita hivyo.Haya nyanda za juu kusini na sehemu za baridi jjna lake kwa kiswahili mtihani