BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Tangu mwezi wa 9 ndo nakula hivyo usiku ila sipungui mwili uko vile vileVyote vinapunguza mafuta mwilini
mmh kumbe ukiongezeka mwili kila sehemu inaongezeka? Duh wacha nikazane na mazoez feki ya tumbo[emoji23][emoji23]Tangu mwezi wa 9 ndo nakula hivyo usiku ila sipungui mwili uko vile vile
Mazoezi nafanya kidogo sana inshort yamenishinda ndo nikaanza kutokula usiku.
Wengine wananiambia niache maziwa mmh maziwa siwezi acha ndo kinyaji changu pendwa.
Nb sina mwili mkubwa sema nina mwili nzuri tu wa kawaida sema nilivyoongezeka kidogo kuna ka kotumbo kama vile kinakuja mmh kumbe ukiongezeka mwili kila sehemu inaongezeka? Duh wacha nikazane na mazoez feki ya tumbo[emoji23]
Inaonesha bibie alikuwa anaambulia kuhema hema tu akatafuta fomulaVyote vinapunguza mafuta mwilini
Mimba zilizopatikana msimu wamvua za mwishoni mwa mwaka lazima ule membe haya