Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka hii ni upareni
Kokomanga, au pomegranate. Ni tunda linastahimili sana ukame. Israel inasemekana ni wazalishaji wazuri wa tunda hili lenye faida lukukiYanaitwaje haya matunda?
Duh thanks [emoji1545] kumbe ndio komamanga hili
sehemu nyingine, walipoasi, Mungu alitumia miti hii hii ya matunda kama mfano kuonyesha, alivyowafunguia milango ya Baraka na mafanikio katika mambo yao maovu, soma.
Fyox, yakiwa yameiva matamu sana