Umekula tunda gani leo?

19. Je, mbegu bado ziko ghalani? Akimaanisha msimu wa kuvuna ulikuwa bado, na mazao ya nafaka ya msimu uliopita yamekwisha. Mbegu za nafaka tayari zimepandwa mwezi huu, na hakuna dalili zaidi za kuzaa kwake mazao mazuri;

Mwaka huo kulikuwa na ukame hivyo dalili za kuvuna mazao mazuri ni hafifu sana. Lakini ninawaahidi kutoka siku hii (kwa kusisitiza kwa kurudia uhusiano wa baraka na siku ya utii wao) baraka katika mavuno mengi. Vivyo hivyo mzabibu, mizeituni pamoja na mikokomanga ambayo hapo awali ilizaa kidogo au haikuzaa chochote, itabarikiwa kwa kuzaa sana

Hata leo hii, unaweza ukaona hakuna dalili za kuvuna Baraka ulizoahidiwa; lakini bado unapaswa kumtegemea Mungu.
 
Hata leo hii, unaweza ukaona hakuna dalili za kuvuna Baraka ulizoahidiwa; lakini bado unapaswa kumtegemea Mungu.[emoji1752][emoji1545]
 
Vanilla ikikumbana na changamoto ya kukosa maji ndiyo inazaa sana, kwa sababu vanilla ili iweze kuzaa inahitaji stress, na ikizaa sana unapata matunda mengi na ukiuza unapata pesa nyingi sana,"- Simon Mkondya, Mkurugenzi Vanilla LTD
 
Girl With Bowl of Fruit, Max Nonnenbruch (detail) c.1896.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…