Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hakika kama kuna mtu kati yetu asubuhi ya leo kala tunda lolote lile basi ni wale waliolala zile hotel zenye bed n breakfast full course. Wengine wetu kwa uchache mno ni wale wafanya diet na kwa uchache zaidi wale wanaotambua umuhimu wa matunda mwilini kiafya. Wengi wetu humaliza mpaka wiki bila kula hata kipande kimoja cha tunda lolote.
Wengi huwa hawali matunda mpaka waandikiwe na daktari kama sehemu ya tiba. Kwao kula tunda ni sehemu ya anasa na kupoteza pesa..
Matunda yana faida kubwa mwilini kiafya kuliko hata nyama. Matunda ni sehemu muhimu ya tiba. Matunda yana uwezo wa kukujenga kiafya na kukukinga na maradhi mengi. Ni afadhali mara mia ukala matunda ya buku kuliko kula mchemsho wa buku 2, Matunda ni tiba ya magonjwa mbalimbali.
Matunda ni sehemu muhimu ya tiba mbadala na ujenzi wa mwili imara na wenye nguvu.
Baadhi yetu hupendelea shurubati zaidi kuliko matunda yenyewe. Ni sawa pia lakini shurubati isiyo halisi inakuwa imechanganywa na vionjo vingine hivyo kupunguza kwa kiasi fulani nguvu ya kutenda.
Huu ni ushauri wangu kwako pamoja na kunywa maji mengi na kupangilia milo yako lakini usisahau kitu hiki muhimu sana TUNDA. Jitahidi kupata kipande cha tunda kwenye kila mlo wako.. kuna siku utanikumbuka na kunishukuru kimoyomoyo
Je, umekula tunda gani leo?
Sehemu nyingine ni ngumu kupata matunda ya asili, inakuwa ngumu sana kula matunda lakini kwa wale wenzetu na mie tuliokulia maeneo kama Mbeya, Kilimanjaro, Kagera, Ruvuma, Arusha, nk matunda tunakula kama mgonjwa na daktari.Hapana pilipili sio tunda
Wengi hawajui umuhimu wa matunda mwilini kiafya matokeo yake ndio hayoKipindi cha nyuma nilikuwa naona wanaokula apple kama watu wanaopenda ufahari,kumbe apple linaondoa sumu kwenye ini,nilikuwa na angalia videos za faida za matunda YouTube nikajua apple lina faida kubwa sana.
Alafu kuna matunda yame hadimika mf Stafeli,Mzaituni siyaoni,mimi nilipokulia yalikuwa kibao,watu wamejenga na miti yenyewe wakaikata.
[emoji24][emoji24]Khaa haya basi ntasubiri huo mrejesho kutoka kwa shemeji yako[emoji3][emoji3]
Why you crying Mvumbo???[emoji24][emoji24]
Wale wanaokula tunda kimasikhara wanaweka koment zao wapi??Ahsante kwa ushauri mzuri na kutukumbusha! Je ukila nanasi lile kubwa zima ni vizuri kiafya ama nimejioverdose? Maana nimekula hadi meno yanauma hapa[emoji16]
Unawaza matunda ya masikhara tu! Humu ni matunda ya mimea kweli kwahiyo utupishe tu. Mtafute rikiboy atakudirect wapi uweke😀😀Wale wanaokula tunda kimasikhara wanaweka koment zao wapi??
Mi nimekuja tunda lile TUNDA LA KIMASIHARA.Kwa hakika kama kuna mtu kati yetu asubuhi ya leo kala tunda lolote lile basi ni wale waliolala zile hotel zenye bed n breakfast full course. Wengine wetu kwa uchache mno ni wale wafanya diet na kwa uchache zaidi wale wanaotambua umuhimu wa matunda mwilini kiafya. Wengi wetu humaliza mpaka wiki bila kula hata kipande kimoja cha tunda lolote.
Wengi huwa hawali matunda mpaka waandikiwe na daktari kama sehemu ya tiba. Kwao kula tunda ni sehemu ya anasa na kupoteza pesa..
Matunda yana faida kubwa mwilini kiafya kuliko hata nyama. Matunda ni sehemu muhimu ya tiba. Matunda yana uwezo wa kukujenga kiafya na kukukinga na maradhi mengi. Ni afadhali mara mia ukala matunda ya buku kuliko kula mchemsho wa buku 2, Matunda ni tiba ya magonjwa mbalimbali.
Matunda ni sehemu muhimu ya tiba mbadala na ujenzi wa mwili imara na wenye nguvu.
Baadhi yetu hupendelea shurubati zaidi kuliko matunda yenyewe. Ni sawa pia lakini shurubati isiyo halisi inakuwa imechanganywa na vionjo vingine hivyo kupunguza kwa kiasi fulani nguvu ya kutenda.
Huu ni ushauri wangu kwako pamoja na kunywa maji mengi na kupangilia milo yako lakini usisahau kitu hiki muhimu sana TUNDA. Jitahidi kupata kipande cha tunda kwenye kila mlo wako.. kuna siku utanikumbuka na kunishukuru kimoyomoyo
Je, umekula tunda gani leo?
Mawazo tu ya ulimwengu [emoji4]Why you crying Mvumbo???