Sio lazima uwe muongeaji sana ndiyo mpate mwanamke au ndiyo uwe hodari kutongoza.. Wanawake wanapenda vitu vingi sana kuliko hata unachotaka kuongea hebu jaribu kumtoa lunch/dinner, hebu jaribu kuwa mcheshi kwake, hebu jaribu kumsaidia pale anapokua na shida, jaribu kumlinda pale anapojiona mdhaifu ukiyaweza haya utakua ndoto za mwanamke yoyote...
Epukeni maneno zaidi ya vitendo