SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
Me: hey
She: .......
Me: samahani kwa kukusumbua ilhali nafahamu kabisa unakimbizana na pilika za hapa na pale, kwa jinsi mazingira yalivyokuwa kwenye gari nilifikili kuwa isingekuwa busara kukufikia hivyo....................
Umekutana na mdada kwenye daradara amekuvutia ukaamua kumtongoza .. Unaweza malizia hapo.. Twende kazi.
Uwandishi wako tu wa kutokujua kutofautisha R na L tayari huyo demu ushaniona pole