Beauty Eva
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 131
- 374
Ni rafiki uako yupi hujui alieda wapi na huwa unam-miss sana na unatamani itokee siku mkutane tena?
Mtaje labda na yeye yupo humu na atakusikia[emoji7]
Mimi naanza na Fatma Ahmed Tamim, nilisoma nae Jamhuri High School Dodoma na alikuwa anaishi Area C