Hili ttz litaisha hadi pale mkiambiwa muandamane kuipinga CCM mkakubali wito.Waziri mwenye dhamana tunaomba ufanye kazi na Tanesco Dar. Sisi wananchi wachini tunashinda gizani kwa masaa 24. Leo wamekata umeme saa nne asubuhi na wamerudisha saa 12 jion ndani ya nusu saa wakakata tena hadi sasa hakuna umeme wala taarifa zozote. Hatukatai umeme kukatwa ila basi tuzingatie utu huwezi kukata umeme mara mbili na joto hili la Dar.
Mkiambiwa tokeni nje mdai haki zenu mnakimbilia ndani na maneno kibao, sasa kaeni humohumo na joto lenu.Siku zote mabadiriko makuu ya nchi yoyote yale uanzia kwenye miji mikuu lkn nyie sijui aliyewaroga nani, ubinafsi tuu unawasumbua.Waziri mwenye dhamana tunaomba ufanye kazi na Tanesco Dar. Sisi wananchi wachini tunashinda gizani kwa masaa 24. Leo wamekata umeme saa nne asubuhi na wamerudisha saa 12 jion ndani ya nusu saa wakakata tena hadi sasa hakuna umeme wala taarifa zozote. Hatukatai umeme kukatwa ila basi tuzingatie utu huwezi kukata umeme mara mbili na joto hili la Dar.
Kuwa wa juu.Waziri mwenye dhamana tunaomba ufanye kazi na Tanesco Dar. Sisi wananchi wachini tunashinda gizani kwa masaa 24. Leo wamekata umeme saa nne asubuhi na wamerudisha saa 12 jion ndani ya nusu saa wakakata tena hadi sasa hakuna umeme wala taarifa zozote. Hatukatai umeme kukatwa ila basi tuzingatie utu huwezi kukata umeme mara mbili na joto hili la Dar.