Umeme kuingia Moja Kwa Moja pindi unaponunua umeme

Umeme kuingia Moja Kwa Moja pindi unaponunua umeme

Pilot study itafanyika kwa maeneo kadhaa
 
Ukinunua mwenyewe kwenye simu yako haina shida.

Changamoto inakuja unaponunua kwa mawakala. Mawakala wengine siyo waaminifu. Kwasababu anajua huu umeme mteja hauhakiki. Anakununulia pungufu, iliyobaki anachikichia
 
Back
Top Bottom