Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kuna tetesi chini ya kapeti ,umeme utaanza kusumbua sumbua mara kwa mara na lengo kuu kwa walioshika mpini ni kufanya biashara ya majenereta.
Hivyo basi, inasemekana pia hata hayo majenereta nayo yatapandishwa bei.
Ngoja tuone, acha tutunze akiba ya maneno.
Hivyo basi, inasemekana pia hata hayo majenereta nayo yatapandishwa bei.
Ngoja tuone, acha tutunze akiba ya maneno.