Tetesi: Umeme muda sio mrefu utaanza kusumbua hivyo raia watalazimika kununua majenereta

Tetesi: Umeme muda sio mrefu utaanza kusumbua hivyo raia watalazimika kununua majenereta

Hii nchi imekua ya kimala malaya sana..WATUUE TU sasa wabaki wenyewe
Haswaaa hiko ndicho wanachokihitaji ndio maana hata yule mama yao alisema waziwazi anawachukia vijana anatamani wasiwepo kabisa au awatupe huko mbali wasiwepo TZ kabisa.
 
Nitajie nchi yoyote ya ulaya inayofanya mgao wa umeme eti kwa sababu mitambo inafanyiwa maintanance
Nitajie nchi ya ulaya inayozuia wapinzani kufanya mikutano kwa miaka 5 halafu miezi miwili ya kampeni unawaambia wapeleke mgombea?
Huyo Magufuli hasafishiki kwa njia yoyote ile.
Kuhusu maintenance na kukata umeme hilo ni jambo la kawaida kwa Dunia ya tatu. Usipende kuhifananisha na Ulaya
wale Uhuru hawajapata jana
 
Kuna aina ya nyumba au majengo stand by generator ni sehemu ya nyumba/jengo haihitaji tena umeme uanze kusumbua. Kuna migodi pia. Na hao ndio wateja wa magenereta makubwa ya maana.
Pia kuna event organizer kama Prime time au akina majizo hawa huwa hawatumii kabisa umeme wa tanesco hawa wanatumia jenereta kwasababu umeme ni stable kuliko wa tanesco.
 
Nitajie nchi ya ulaya inayozuia wapinzani kufanya mikutano kwa miaka 5 halafu miezi miwili ya kampeni unawaambia wapeleke mgombea?
Huyo Magufuli hasafishiki kwa njia yoyote ile.
Kuhusu maintenance na kukata umeme hilo ni jambo la kawaida kwa Dunia ya tatu. Usipende kuhifananisha na Ulaya
wale Uhuru hawajapata jana

Ni magufuli hasafishiki au CCM haisafishiki, Embu weka point sawa Comrade.
 
Nitajie nchi ya ulaya inayozuia wapinzani kufanya mikutano kwa miaka 5 halafu miezi miwili ya kampeni unawaambia wapeleke mgombea?
Huyo Magufuli hasafishiki kwa njia yoyote ile.
Kuhusu maintenance na kukata umeme hilo ni jambo la kawaida kwa Dunia ya tatu. Usipende kuhifananisha na Ulaya
wale Uhuru hawajapata jana
Sawa
 
Nyie wajinga hamna akili kabisa.
Haya ndio yale ya MAGUFULI kuwakataza TANESCO kufanya maintenance ya mitambo yao akiwaambia wakitaka kufanya ma intenance wahakikishe hawakati umeme.
Mashine zikachoka aliookufa TANESCO walipojaribu kufanya maintenance wakaona ni gharama kubwa afadhali kununua mashine mpya .
Taifa likapata hasara
In Short wewe ni MAQU
 
Back
Top Bottom