Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
🙄Kuna tetesi chini ya kapeti ,umeme utaanza kusumbua sumbua mara kwa mara na lengo kuu kwa walioshika mpini ni kufanya biashara ya majenereta.
Hivyo basi, inasemekana pia hata hayo majenereta nayo yatapandishwa bei.
Ngoja tuone, acha tutunze akiba ya maneno.
Tunazidi kuangamia.😔😔😔😟😟😟
Umeme kusua sua ni swala la muda tu maana unatengenezwa kutokana na maji na mvua hakuna.Kuna tetesi chini ya kapeti ,umeme utaanza kusumbua sumbua mara kwa mara na lengo kuu kwa walioshika mpini ni kufanya biashara ya majenereta.
Hivyo basi, inasemekana pia hata hayo majenereta nayo yatapandishwa bei.
Ngoja tuone, acha tutunze akiba ya maneno.
Wewe bado unapambana na marehemu badala ya kupambania huyo mfungwa mtarajiwa wa ICC!?Nyie wajinga hamna akili kabisa.
Haya ndio yale ya MAGUFULI kuwakataza TANESCO kufanya maintenance ya mitambo yao akiwaambia wakitaka kufanya ma intenance wahakikishe hawakati umeme.
Mashine zikachoka aliookufa TANESCO walipojaribu kufanya maintenance wakaona ni gharama kubwa afadhali kununua mashine mpya .
Taifa likapata hasara
Nitajie nchi yoyote ya ulaya inayofanya mgao wa umeme eti kwa sababu mitambo inafanyiwa maintananceNyie wajinga hamna akili kabisa.
Haya ndio yale ya MAGUFULI kuwakataza TANESCO kufanya maintenance ya mitambo yao akiwaambia wakitaka kufanya ma intenance wahakikishe hawakati umeme.
Mashine zikachoka aliookufa TANESCO walipojaribu kufanya maintenance wakaona ni gharama kubwa afadhali kununua mashine mpya .
Taifa likapata hasara
Nakubaliana na wewe mkuu.Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
Pumbavu sana una kizabizabina sana wewe!...Acha kabisa kumchafua Mzee wetu JPM....ule usenge wenu wa mgao wa ujanja ujanja ili muuze majenereta unafikiri hatujui?....scheduled maintanance inajulikana na ukiifata hiyo hakuna mgao..Nyie wajinga hamna akili kabisa.
Haya ndio yale ya MAGUFULI kuwakataza TANESCO kufanya maintenance ya mitambo yao akiwaambia wakitaka kufanya ma intenance wahakikishe hawakati umeme.
Mashine zikachoka aliookufa TANESCO walipojaribu kufanya maintenance wakaona ni gharama kubwa afadhali kununua mashine mpya .
Taifa likapata hasara
we mpumbavu unateseka ukiwa wapi?Nyie wajinga hamna akili kabisa.
Haya ndio yale ya MAGUFULI kuwakataza TANESCO kufanya maintenance ya mitambo yao akiwaambia wakitaka kufanya ma intenance wahakikishe hawakati umeme.
Mashine zikachoka aliookufa TANESCO walipojaribu kufanya maintenance wakaona ni gharama kubwa afadhali kununua mashine mpya .
Taifa likapata hasara
Tangu enzi za February Marope mpaka leo hamjamaliza tu hizo story za matengenezo??Nyie wajinga hamna akili kabisa.
Haya ndio yale ya MAGUFULI kuwakataza TANESCO kufanya maintenance ya mitambo yao akiwaambia wakitaka kufanya ma intenance wahakikishe hawakati umeme.
Mashine zikachoka aliookufa TANESCO walipojaribu kufanya maintenance wakaona ni gharama kubwa afadhali kununua mashine mpya .
Taifa likapata hasara
Bei ya umeme kupandishwa sh 1000 kuwa unity 2 kamiliKuna tetesi chini ya kapeti ,umeme utaanza kusumbua sumbua mara kwa mara na lengo kuu kwa walioshika mpini ni kufanya biashara ya majenereta.