Umeme na maji vitaendelea kupatikana kila siku baada ya Rais kuondoka Arusha?

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,944
Reaction score
2,032
Tunajiuliza sana je, umeme huu tuliyoushudia ukiwaka full time tutaendelea kuwa nao? Au ndiyo ataondoka nao?

Tunamshukuru sana kwa kuwa hapa, maana kwetu tunatamani angeendelea kubaki kwani hata maji yapo ya kutosha.

Je, akioondoka itakuwaje? Hatuna mengi sisi tunasubiri yajayo!
 
[emoji23][emoji23] hata Huku nlipo juz Jana umeme full.leo umeshaondoka na rais wake
 
Tunajiuliza sana je, umeme huu tuliyoushudia ukiwaka full time tutaendelea kuwa nao? Au ndiyo ataondoka nao?

Tunamshukuru sana kwa kuwa hapa, maana kwetu tunatamani angeendelea kubaki kwani hata maji yapo ya kutosha.

Je, akioondoka itakuwaje? Hatuna mengi sisi tunasubiri yajayo!
Ndiyo mjue umeme inakata serikali siyo tanesco. Waziri anauza majenereta ya serikali.
 
Back
Top Bottom