SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
[emoji23][emoji23] hata Huku nlipo juz Jana umeme full.leo umeshaondoka na rais wakeTunajiuliza sana je, umeme huu tuliyoushudia ukiwaka full time tutaendelea kuwa nao? Au ndiyo ataondoka nao?
Tunamshukuru sana kwa kuwa hapa, maana kwetu tunatamani angeendelea kubaki kwani hata maji yapo ya kutosha.
Je, akioondoka itakuwaje? Hatuna mengi sisi tunasubiri yajayo!
Ina maana wamepita nao,mtaani si hupo tunasikilizia kesho[emoji23][emoji23] hata Huku nlipo juz Jana umeme full.leo umeshaondoka na rais wake
Mkuu jamaa walikuwa hawana namna lakini wanaweza kutusomesha nambaTanesco wanawaangalia yaani wanamind kinyama. Mama akitoka wanaweza kung'oa hadi nguzo
Ndiyo mjue umeme inakata serikali siyo tanesco. Waziri anauza majenereta ya serikali.Tunajiuliza sana je, umeme huu tuliyoushudia ukiwaka full time tutaendelea kuwa nao? Au ndiyo ataondoka nao?
Tunamshukuru sana kwa kuwa hapa, maana kwetu tunatamani angeendelea kubaki kwani hata maji yapo ya kutosha.
Je, akioondoka itakuwaje? Hatuna mengi sisi tunasubiri yajayo!
hahahawanaweza kung'oa hadi nguzo
Namba imeaanza kusomeka mchana huu tu walivyohakikisha tu ndege iko mawinguni wakabonyeza kitufeKuanzia kesho ,tutaisoma namba
Na hawajarudisha adi mida hii... nahisi tanesco watakua na uchungu umeme umetumika sana[emoji23][emoji23] hata Huku nlipo juz Jana umeme full.leo umeshaondoka na rais wake