Umeme na Nishati - Kenya

Umeme na Nishati - Kenya

Malindi Solar Project 52MW U/C​

LC3I2emh.jpg

NEtJ0Yzh.jpg

1dmqXSEh.jpg
 
Mimi sikuoneshi 100mw nakuonesha zaidi ya hiyo!!
View attachment 1817648

Huu ndo unaitwa ushamba! Nimekwambia unionyeshe mradi wa umeme kutumia upepo umeenda kunionyesha mradi wa gesi! Kwani unadhani kenya hatuna viwanda vyengine vya kuzalisha zaidi ya 185MW. Punguza ushamba, Tz haina hata 5MW of wind farm, funga bakuli kwa mambo ambayo huwezani!
 
Onesha wapi umesema umeme wa upepo. Mzee umeme ni umeme tu kijana. Sisi hatuko jangwani.
Kenya ipo na umeme wa gas!? 🤣 🤣🤣
 
Alafu hatuna umeme wa gesi kwasababu Kenya haijawahi kuchimba na kupata gesi, Sawa sawa na kama vile Tanzania haijawahi kuchimba na kupata joto la geothermal.... Lakini Jua na Upepo ni rasilmali ambayo inapatikana kote Tanzania na Kenya.... Sasa nionyeshe mradi wowote kama huo wa 100MW of wind energy ambapo Tanzania imeweza kutumia upepo amao unapatikana bure!
 
Sasa unajua energy ni nini!?
Ondoa ushamba Mzee. Umeme wa upepo ni umeme wa jangwani. Tanzania hatuna jangwa Mzee 🤣 🤣🤣
Duh! Yani ndo unazidi kujichimba kabisa, Kipeto Wind Farm inapatikana Ngong, Ngong is only a few kilomiters from Nairobi..... Ngong si jangwani, Infact hapo pana misitu ya kuvutia sana na ni mahali penye baridi hadi temperature inafika 9 degrees celcius.. hapa ndo unataka kupaita jangwa!!!

KIPETO-WIND-EOLIEN-1-800x400.jpg

775ec8807812b641942b0d6fbcb3026f

1623603229621.png

Alafu upepo unaweza ukategewa hata baharini, Mataifa mengine yamefanya hivyo. Na usiniambie Tanzania haina bahari, bahari mnayo na inaleta upepo wa kutosha, si hata juzi juzi mlikua na kimbunga cha jobo ???

file.jpeg

iu
 
Alafu hatuna umeme wa gesi kwasababu Kenya haijawahi kuchimba na kupata gesi, Sawa sawa na kama vile Tanzania haijawahi kuchimba na kupata joto la geothermal.... Lakini Jua na Upepo ni rasilmali ambayo inapatikana kote Tanzania na Kenya.... Sasa nionyeshe mradi wowote kama huo wa 100MW of wind energy ambapo Tanzania imeweza kutumia upepo amao unapatikana bure!
🤣 🤣 🤣 🤣 joto linachimbwa!? Hahahah
 
Duh! Yani ndo unazidi kujichimba kabisa, Kipeto Wind Farm inapatikana Ngong, Ngong is only a few kilomiters from Nairobi..... Ngong si jangwani, Infact hapo pana misitu ya kuvutia sana na ni mahali penye baridi hadi temperature inafika 9 degrees celcius.. hapa ndo unataka kupaita jangwa!!!

KIPETO-WIND-EOLIEN-1-800x400.jpg

775ec8807812b641942b0d6fbcb3026f

Alafu upepo unaweza ukategewa hata baharini, Mataifa mengine yamefanya hivyo. Na usiniambie Tanzania haina bahari, bahari mnayo na inaleta upepo wa kutosha, si hata juzi juzi mlikua na kimbunga cha jobo ???

file.jpeg

iu

Mzee hebu check statistics ya source of electricity duniani. Tuoneshe Thermal iko wapi na wind iko wapi!?
Screenshot_20210613-195136.png

Tanzania tuna gas na hydropower
 
View attachment 1817689
Tanzania tuna gas na hydropower
That only means kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi chache sana duniani ambazo zimefanyikiwa kutega upepo na kuutumia kuzalisha umeme.. So piga saluti kwa heshma ukiona tumeongeza 100MW kutoka kwa upepo... Tunashikilia rekodi ya biggest wind farm south of the Sahara! Tanzania mnashikilia rekodi gani ya Gas au Hydro???

Alafu kwa Thermal, Tunashikilia rekodi kwa kua the biggest producer of geothermal energy in Africa, na duniani number 8

iu

----------------------------------
Alafu wewe uko hapo unakuja kutucheka tukilaunch 100MW wind farm, kitu ambacho nchi nyingi za Africa zimeshindwa kufanya ilhali upepo upo kwa wingi!
 
Pwahahaha!! Mzee 🤣 🤣 🤣 usilazimishe Geothermal duniani kote ni 14,900Mw pekee. Hivi upo na akili timamu kweli!?
 
That only means kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi chache sana duniani ambazo zimefanyikiwa kutega upepo na kuutumia kuzalisha umeme.. So piga saluti kwa heshma ukiona tumeongeza 100MW kutoka kwa upepo... Tunashikilia rekodi ya biggest wind farm south of the Sahara! Tanzania mnashikilia rekodi gani ya Gas au Hydro???

Alafu kwa Thermal, Tunashikilia rekodi kwa kua the biggest producer of geothermal energy in Africa, na duniani number 8

iu

----------------------------------
Alafu wewe uko hapo unakuja kutucheka tukilaunch 100MW wind farm, kitu ambacho nchi nyingi za Africa zimeshindwa kufanya ilhali upepo upo kwa wingi!
Record!? Pwahahaha!!! Mzee unaongelea record kama mjinga vile. Utaanza kuleta na record za flying toilet. Mambo ya wind na Geothermal ni umeme usio wa uhakika mzee. Geothermal na Wind are just alternative source Mzee.
 
That only means kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi chache sana duniani ambazo zimefanyikiwa kutega upepo na kuutumia kuzalisha umeme.. So piga saluti kwa heshma ukiona tumeongeza 100MW kutoka kwa upepo... Tunashikilia rekodi ya biggest wind farm south of the Sahara! Tanzania mnashikilia rekodi gani ya Gas au Hydro???

Alafu kwa Thermal, Tunashikilia rekodi kwa kua the biggest producer of geothermal energy in Africa, na duniani number 8

iu

----------------------------------
Alafu wewe uko hapo unakuja kutucheka tukilaunch 100MW wind farm, kitu ambacho nchi nyingi za Africa zimeshindwa kufanya ilhali upepo upo kwa wingi!
Stop feeding the troll. This is what he does. He says something stupid and then once you respond he spams the thread with bullshit.
 
Mzee inferiority complex yenu inawasumbua mno. Hamuwezi kujadili analytical discussions. You want to dictate the discussion. Give us concrete information rather than cheap propaganda.

Do you have any say about this:?
Screenshot_20210613-195136.png
 
Back
Top Bottom