don't mind him, he got too excited like a little kid and forgot to read.👇👇👇👇
Ushamba wa hali ya juu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
don't mind him, he got too excited like a little kid and forgot to read.👇👇👇👇
Ushamba wa hali ya juu sana
Wewe uko na ujinga sana. Unaambiwa ulete mradi wenu wa windpower lakini kwa sababu hamna inabidi ujifanye zuzu na kuleta miradi ambayo hujaulizwa. Hata sisi tuna hydropower. Lakini umeulizwa ulete wind farm ya 100 MW. Kama hamna sema hamna. Hata sisi hatuna gas powerplant na nyinyi hamna wind au solar plants zaidi ya 10 MW na niko sure hamna geothermal powerplant hata moja.Mzee nakuona umepotea vipi!? Mambo yanauna
View attachment 1817656
Upepo haupo jangwani pekee. Wewe ni mshamba wa wapi? Upepo unapatikana hata kwenye ocean mahali ambapo kuna maji mengi. Upepo unapatikana mahali popote tu. Punguza ushamba.Sasa unajua energy ni nini!?
Ondoa ushamba Mzee. Umeme wa upepo ni umeme wa jangwani. Tanzania hatuna jangwa Mzee 🤣 🤣🤣
Wind power Mzee ni alternative power source Mzee siyo wa uhakika.Upepo haupo jangwani pekee. Wewe ni mshamba wa wapi? Upepo unapatikana hata kwenye ocean mahali ambapo kuna maji mengi. Upepo unapatikana mahali popote tu. Punguza ushamba.
Hio haibadilishi ukweli kwamba Kenya ni number 8 and soon to be number 7 in geothermal power production. Hio wivu yako peleka kwingine.Pwahahaha!! Mzee 🤣 🤣 🤣 usilazimishe Geothermal duniani kote ni 14,900Mw pekee. Hivi upo na akili timamu kweli!?
Geothermal is the most stable powersource in the world. It is a baseload power source and it is more stable and reliable than Hydro, nuclear, gas or coal. Geothermal is not an alternative power source. Usiongee vitu usivyovijua. Usikurupuke ovyo ovyo.Record!? Pwahahaha!!! Mzee unaongelea record kama mjinga vile. Utaanza kuleta na record za flying toilet. Mambo ya wind na Geothermal ni umeme usio wa uhakika mzee. Geothermal na Wind are just alternative source Mzee.
Duh!!! Hebu leta hiyo evidence Mzee.Geothermal is the most stable powersource in the world. It is a baseload power source and it is more stable and reliable than Hydro, nuclear, gas or coal. Geothermal is not an alternative power source. Usiongee vitu usivyovijua. Usikurupuke ovyo ovyo.
Wewe unataka Umeme au upepo?Huu ndo unaitwa ushamba! Nimekwambia unionyeshe mradi wa umeme kutumia upepo umeenda kunionyesha mradi wa gesi! Kwani unadhani kenya hatuna viwanda vyengine vya kuzalisha zaidi ya 185MW. Punguza ushamba, Tz haina hata 5MW of wind farm, funga bakuli kwa mambo ambayo huwezani!
Nataka umeme wa kutegea upepo! Jamaa amecheka kwamba tunazindua only 100MW Power plant. Ndo nikamwambia anionyeshe ya kwao zaidi ya hio...Wewe unataka Umeme au upepo?
I can see Kenya is also ahead of Japan [emoji3]That only means kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi chache sana duniani ambazo zimefanyikiwa kutega upepo na kuutumia kuzalisha umeme.. So piga saluti kwa heshma ukiona tumeongeza 100MW kutoka kwa upepo... Tunashikilia rekodi ya biggest wind farm south of the Sahara! Tanzania mnashikilia rekodi gani ya Gas au Hydro???
Alafu kwa Thermal, Tunashikilia rekodi kwa kua the biggest producer of geothermal energy in Africa, na duniani number 8
![]()
----------------------------------
Alafu wewe uko hapo unakuja kutucheka tukilaunch 100MW wind farm, kitu ambacho nchi nyingi za Africa zimeshindwa kufanya ilhali upepo upo kwa wingi!
Mzee hebu twende taratibu. Nitakuelimisha mpaka kichwa chako kiwe sawa.Of course. We are even ahead of China, UK, France, Russia, Brazil, India na kadhalika. Kwenye geothermal tupatie heshima yetu tafadhali.
Ili iweje!? Faida zake ni zipi!?Nataka umeme wa kutegea upepo!
Nimeamua kuanzisha uzi huu wa umeme na nishati kwa sababu huwa nina habari nyingi kuhusu sekta hii ila huwa nakosa mahali pa kupost habari hizo.
ATI geothermal sio umeme wa uhakika! Duh! Watanzania muelimisheni Huyu kinyangarika wenu kabla azidi kuwaaibisha jameni!Record!? Pwahahaha!!! Mzee unaongelea record kama mjinga vile. Utaanza kuleta na record za flying toilet. Mambo ya wind na Geothermal ni umeme usio wa uhakika mzee. Geothermal na Wind are just alternative source Mzee.
Umeitisha evidence kwamba geothermal power ni baseload power. Ndio hii naweka evidence na usibadilishe goal post kama kawaida yako. Pata somo hapa chini.Duh!!! Hebu leta hiyo evidence Mzee.
Halafu wewe cashier mambo ya physics wapi na wapi!?
View attachment 1818140
Nionyeshe Kwanza alafu ntakwambiaIli iweje!? Faida zake ni zipi!?
Mzee mimi siongei kwa kupiga kelele. Unachotakiwa kuleta evidences za claims zako.ATI geothermal sio umeme wa uhakika! Duh! Watanzania muelimisheni Huyu kinyangarika wenu kabla azidi kuwaaibisha jameni!
Wewe ndiye unayebadili. Umesema Geothermal Electric Energy inazidi Hydroelectric Energy. Kitu ulichokiweka hapa hakiendani na claim yako.Umeitisha evidence kwamba geothermal power ni baseload power. Ndio hii naweka evidence na usibadilishe goal post kama kawaida yako. Pata somo hapa chini.
Baseload energy - it’s always on: Geothermal power plants produce electricity consistently, running 24 hours a day, 7 days a week. The power output of a geothermal power plant is highly predictable and stable, thus facilitating energy planning with remarkable accuracy. Geothermal power plants are also an excellent means of meeting baseload energy demand, or the minimum level of demand on an electrical grid during a 24-hour period.
Kwa mengi zaidi fuata hapa:
5 Things to Know About Geothermal Power
Geothermal energy can be harnessed both as a source of renewable electricity as well as directly for heating and cooling applications.www.energy.gov
Nakungojea ubadilishe goal post kama kawaida yako.
Wewe ulipost mambo ya efficiency. Mimi nilikuwa nazungumzia mambo ya stability au kwa lugha nyingine availability. Efficiency na availability ni vitu viwili tofauti.Wewe ndiye unayebadili. Umesema Geothermal Electric Energy inazidi Hydroelectric Energy. Kitu ulichokiweka hapa hakiendani na claim yako.
Nimekutaka ulete Geothermal electric Energy vs Hydroelectric Energy.