Umeme na Nishati - Kenya

Sasa niambie kwa hizo points zangu ni gani wrong? Au wewe ulikua unaongezea tu? Kama ni hivyo asante kwa kuongezea. Kuna sababu nyingi hata zaidi ya kumi mbona geothermal haitumiki sana.
Kwahiyo tumekubaliana kuwa Geothermal is not reliable good source of electric energy compared to Coal, hydro, Nuclear and Gas!?
 
Kwahiyo tumekubaliana kuwa Geothermal is not reliable good source of electric energy compared to Coal, hydro, Nuclear and Gas!?
Boss what are you talking about?
 
So geothermal sio reliable kwa misingi gani?
Tunaenda tunarudi. Kwanini hutaki kutuambia how Geothermal is better compared to others!?

Hivi hapa sababu chache kati ya nyingi.

1. Geothermal energy runs the risk of triggering earthquakes.

2. Expensive resource to tap into, with high upfront costs ranging from around $2-$7 million for a plant with a 1 megawatt capacity.

3. One major concern around geothermal energy, as articulated by GreenMatch, is in regards to its extraction — often, the extraction of geothermal energy “leads to a release of greenhouse gases like hydrogen sulfide, carbon dioxide, methane and ammonia.”
 
Adios. Sina muda wa kupoteza.
 
Nimeamua kuanzisha uzi huu wa umeme na nishati kwa sababu huwa nina habari nyingi kuhusu sekta hii ila huwa nakosa mahali pa kupost habari hizo.
Muhimu tukijua comrade, pia picha kiasi zisikosekane aisee. Kudos!
 
Iam beginning to respect this SECO guys . They are in ship building, roads and bridges construction and now energy infrastructure. They are really serious.
They also played an important role in the 310 MW Lake Turkana wind power. They did the site prep work there.
 
Hivi mbona Africa bado hatuna explore Tidal energy , tuna Maziwa na bahari ambazo ni resources kubwa katika uzalishaji WA nishati ya umeme Kwa kutumia mawimbi ya maji
Mzee Tidal energy unajua investment yake!?
 
SOlar power potential is huge at the equator yet EA countries have done little to harness the readily available Energy.

The world’s most ambitious renewable energy project to date is the proposed Australia–ASEAN Power Link. This project would combine the world’s largest solar farm, the largest battery, and longest undersea electricity cable. The 10 gigawatt (GW) solar farm would cover 30,000 acres in Australia’s sunny Northern Territory. That is about the equivalent of 9 million rooftop solar photovoltaic (PV) panels. The solar farm would be paired with a 30 gigawatt-hour (GWh) battery storage facility to enable round-the-clock dispatch of renewable power.


I
 
Mzee mimi huwa sipendi kuongea vitu bila evidences.
Hebu weka hapa statistics za hiyo Tidal energy.
Ni TW ngapi zinazalishwa dunia kwa sasa!?
 
Mzee hebu ondoa hadithi za abunuasi hapa. South Korea ndio inaongoza kwa Tidal energy wameweza ku install only 511Mw out of 119GW
Yaani 511Mw out of 119000Mw
Which is only 0.4%

Mzee hebu ondoa ndoto za mchana za Elon Musk za ku colonize Mars 2024.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…