2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
TATIZO MONOPOLIZATIONYears African Countries Started Using Electricityâš¡
South Africa 🇿🇦 - 1860
Kenya 🇰🇪 - 1875
Egypt 🇪🇬 - 1893
Nigeria 🇳🇬 - 1896
Zimbabwe 🇿🇼 - 1897
Ethiopia 🇪🇹 - 1898
Mauritius 🇲🇺 - 1899
Tunisia 🇹🇳 - 1902
Zambia 🇿🇲 - 1906
Uganda 🇺🇬 - 1906
Tanzania 🇹🇿 - 1908
Morocco 🇲🇦 - 1914
Ghana 🇬🇠- 1914
Togo🇹🇬 - 1926
Africa facts zone
Years African Countries Started Using Electricityâš¡
South Africa 🇿🇦 - 1860
Kenya 🇰🇪 - 1875
Egypt 🇪🇬 - 1893
Nigeria 🇳🇬 - 1896
Zimbabwe 🇿🇼 - 1897
Ethiopia 🇪🇹 - 1898
Mauritius 🇲🇺 - 1899
Tunisia 🇹🇳 - 1902
Zambia 🇿🇲 - 1906
Uganda 🇺🇬 - 1906
Tanzania 🇹🇿 - 1908
Morocco 🇲🇦 - 1914
Ghana 🇬🇠- 1914
Togo🇹🇬 - 1926
Africa facts zone
Maelezo tafadhali..Wakati huo miji yote ya Mashariki ya Afrika ilikuwa ni Zanzibar.
Usisahau hilo.
Ilikuaje morocco kachelewa sana?Years African Countries Started Using Electricityâš¡
South Africa 🇿🇦 - 1860
Kenya 🇰🇪 - 1875
Egypt 🇪🇬 - 1893
Nigeria 🇳🇬 - 1896
Zimbabwe 🇿🇼 - 1897
Ethiopia 🇪🇹 - 1898
Mauritius 🇲🇺 - 1899
Tunisia 🇹🇳 - 1902
Zambia 🇿🇲 - 1906
Uganda 🇺🇬 - 1906
Tanzania 🇹🇿 - 1908
Morocco 🇲🇦 - 1914
Ghana 🇬🇠- 1914
Togo🇹🇬 - 1926
Africa facts zone
Tumia google.Nyoosha
Maelezo tafadhali..
Ndiyo mana nikaweka neno tafadhali,,Tumia google.
Shule ulienda kusomea ujinga?
Afrika mashariki inaanzia Eritrea mpaka Tanzania,Ina nchi takribani 10,Tumia google.
Shule ulienda kusomea ujinga?
Sikuandika "Afrika Mashariki", nimeandika "mashariki ya Afrika".Afrika mashariki inaanzia Eritrea mpaka Tanzania,Ina nchi takribani 10,
Ila jumuiya ya Afrika Mashariki ina nchi 5.
-So jinga wewe,he,Djibouti, Mogadishu,Nairobi,Adis Ababa,,Aksan na Kampala zilikuwa Zanzibar au unaropoka tu hapa ?
Sasa Jinga wewe hata ukisema Mashariki mwa Afrika ,unafkiri unaongelea nchi zipi,au Nairobi na Kampala zopo Magharibi mwa Afrika...Sikuandika "Afrika Mashariki", nimeandika "mashariki ya Afrika".
Hata mnachokisoma hamuelewi?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mashariki mwa Africa hpo s inamaansha kwamba mashariki mwa Bara la Africa ambako Sasa n Ulaya su Europe, si ndo hvo wajubaSasa Jinga wewe hata ukisema Mashariki mwa Afrika ,unafkiri unaongelea nchi zipi,au Nairobi na Kampala zopo Magharibi mwa Afrika...
Yan vilaza utawajua....mwalim anaelekeza wewe ulikuwa domokaya Darasani.
Hebu Google ujionee
Mkuu,Ulaya ipo Kaskazini....Mashariki mwa Africa hpo s inamaansha kwamba mashariki mwa Bara la Africa ambako Sasa n Ulaya su Europe, si ndo hvo wajuba
Mpaka sasa,umeme wa maporomoko ya maji,ndiyo umeme cheap kuliko wote.Kama tuko serious umeme wa jua utatuondolea tatizo la umaskini na tutamaliza hii migawo ya Kila siku, teknoloji ipo na bei imeshuka sana, tuondoe Kodi zote kwenye umeme wa jua na vifaa vyake vyote na ikibidi serikali itoe ruzuku Kwa wanaofunga solar au kuanzisha uzalishaji katika sekta ya umeme wa jua, hili tunaweza kuamua wenyewe, hatuhitaji wageni kutusaidia au fedha za kigeni, Tanzania Kuna jua kuliko mahitaji na wazungu wanajua Hilo ndio maana wako kimya hawatuambii chochote, kingine magari ya umeme nayo Kodi ifutwe au ipunguzwe sana, itasaidia kupunguza gharama za kuagiza mafuta machafu yanayotugharimu billions, nusu ya import $$$ yote Kwa mwaka ni mafuta, imagine tutasave kiasi gani Kwa kupunguza uagizaji wa mafuta