Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Utasevu na nani wewe wakati hela wanazila wahuni utasevu na nani?imagine tutasave kiasi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasevu na nani wewe wakati hela wanazila wahuni utasevu na nani?imagine tutasave kiasi gani
Wrong everything, please fanya research zaidi ili uelewe, umeme wa jua tukiwa serious utaondoa hii migawo na umaskini unaotokana na kukosa umeme wa bei rahisi na kuaminikaMpaka sasa,umeme wa maporomoko ya maji,ndiyo umeme cheap kuliko wote.
SOLAR
1.Eneo kubwa
-Eneo kubwa lahitajika kwa ajili ya panel
-Elfu ya eka
2.Teknolojia
-kipindi cha mvua,itakuwaje
-Teknolohia ya mabetri makubwa ya kuhifadhi chaji,bado.ipo nyuma sana.
3.Umeme wake ni wa msimu na masaa kadhaa.
1.Howcome hakuna hata nchi moja duniani, ambayo chanzo chake namba moja kikubwa cha umeme ni Solar....?Wrong everything, please fanya research zaidi ili uelewe, umeme wa jua tukiwa serious utaondoa hii migawo na umaskini unaotokana na kukosa umeme wa bei rahisi na kuaminika
Soma matatizo yanayokumba solar electrical power plant ,link chiniWrong everything, please fanya research zaidi ili uelewe, umeme wa jua tukiwa serious utaondoa hii migawo na umaskini unaotokana na kukosa umeme wa bei rahisi na kuaminika
www.novergysolar.com
Huna idea unachoongea, US mwaka Jana tuu wame install zaidi ya 45,000MW za solar power na ndio ilikuwa number one source of energy mpya Kwa 2023 na ilizidi gas, coal, nuclear na Kila kitu unachojua etc, na China ndio zaidi (Google utajua), nafikiri hauko serious unaposema TZ haina shida kwenye uzalishaji, Tanzania hatuna umeme ndio maana Kuna migawo Kila siku na sababu sio usambazaji tuu, jaribu kufungua kiwanda Labda utaelewa changamoto za umeme, Tanzania ni maskini sana na capacity ya 3000MW ambazo kiukweli hazipo ndio chanzo kikubwa na shida nyingi za uchumi zinapoanzia, Kwa 3000MW maendeleo sahau na wanaoelewa wanalitambua hilo1.Howcome hakuna hata nchi moja duniani, ambayo chanzo chake namba moja kikubwa cha umeme ni Solar....?
2.pia Lazima ujue kuwa shida kubwa ya TZ siyo uzalishaji wa umeme, Bali ni distribution networks....?
Kila source of energy ina matatizo yake, lakini Kwa sasa solar kama unafuatilia ndio cheapest and clean source of energy, Kwa Europe na US solar 2023 ilikuwa number one, Kwa wenzetu waliondelea waliachana na hydro maana inaharibu mazingira sana na sio reliable sana, jielimisheni ili muwaelimishe wengine maana tukiwa solar tumejariwa kama mwarabu na mafuta, na tukiwa serious tutasolve matatizo yetu ya kiuchumi na umaskini wetu, energy ni direct proportion na maendeleo, ile Dodoma na central yote Kuna jua la kuweza supply umeme nchi nzima mpaka wa kuuza njeSoma matatizo yanayokumba solar electrical power plant ,link chini
![]()
Large-Scale Solar Power Plants: Benefits and Challenges
Discover the benefits and challenges of large-scale solar power plants. Learn about energy efficiency, reduced emissions, and financing considerations.www.novergysolar.com
weka solar utaachana na bill za TANESCO na hao wahuni hawatakula pesa zako tena, nimejenga nyumba nimeweka solar +battery huu mwaka wa tatu sijui bill ya TANESCO inafananaje, na solar lifespan ni 25 years or moreUtasevu na nani wewe wakati hela wanazila wahuni utasevu na nani?
Bado haujaelewa soma tena comment alichoandika jamaaweka solar utaachana na bill za TANESCO na hao wahuni hawatakula pesa zako tena, nimejenga nyumba nimeweka solar +battery huu mwaka wa tatu sijui bill ya TANESCO inafananaje, na solar lifespan ni 25 years or more
Tulishindwa kuyaendeleza mazuri ya wakoloni kwa sababu maendeleo sio mfumo wetu wa maisha,sisi zaidi ya kula na kunywa mengine ni ziada tuNi kwamba, kipindi hicho ambacho Tanzania ilianza kutumia umeme ilikuwa inatawaliwa na Wajerumani.
Mapinduzi ya viwanda yalitokea tangu karne ya 17 huko Ulaya hivyo mambo kama umeme yalikuwa ni kitu cha kawaida kwa wazungu!
Pia, baadhi ya Wazungu walipohamia Afrika katika karne ya 18 wengine waliamua kuyafanya makoloni kama makazi ya kudumu hivyo walianza kuweka miundombinu na teknolojia mbalimbali kwa ajili ya kurahisisha maisha yao.
Baada ya wazungu kuondoka Afrika, nchi nyingi za Kiafrika zilishindwa na zinaendelea kushindwa kuendeleza vile vitu walivyoacha Wazungu.
Zipi ni sababu za nchi za Kiafrija kushindwa kuendeleza mazuri yaliyoachwa na Wazungu mimi na wewe ndio tuulizane, mana kwa sasa bongo kama unavyooan tuna watu kama kina Mwijaku, Doto Magari, na yule binti wa Aslay sijui Lilian wanatrend mtandaoni na Watanzania wanapenda kuwafuatilia, lakini mambo sirias hayafuatiliwi.
Kodi ni tools ya kukufanya wewe uwe masikini ili uweze kutawaliwa.Kama tuko serious umeme wa jua utatuondolea tatizo la umaskini na tutamaliza hii migawo ya Kila siku, teknoloji ipo na bei imeshuka sana, tuondoe Kodi zote kwenye umeme wa jua na vifaa vyake vyote na ikibidi serikali itoe ruzuku Kwa wanaofunga solar au kuanzisha uzalishaji katika sekta ya umeme wa jua, hili tunaweza kuamua wenyewe, hatuhitaji wageni kutusaidia au fedha za kigeni, Tanzania Kuna jua kuliko mahitaji na wazungu wanajua Hilo ndio maana wako kimya hawatuambii chochote, kingine magari ya umeme nayo Kodi ifutwe au ipunguzwe sana, itasaidia kupunguza gharama za kuagiza mafuta machafu yanayotugharimu billions, nusu ya import $$$ yote Kwa mwaka ni mafuta, imagine tutasave kiasi gani Kwa kupunguza uagizaji wa mafuta
HivyohivyoUnajua akishakuja prince dube pale yanga,,mi naona itamuongezea molari ya kupambana clement mzize au nyie mnaonaje?
Hakukuwa na Tanzania 1908. Tuwe wa kweli,Years African Countries Started Using Electricity⚡
South Africa 🇿🇦 - 1860
Kenya 🇰🇪 - 1875
Egypt 🇪🇬 - 1893
Nigeria 🇳🇬 - 1896
Zimbabwe 🇿🇼 - 1897
Ethiopia 🇪🇹 - 1898
Mauritius 🇲🇺 - 1899
Tunisia 🇹🇳 - 1902
Zambia 🇿🇲 - 1906
Uganda 🇺🇬 - 1906
Tanzania 🇹🇿 - 1908
Morocco 🇲🇦 - 1914
Ghana 🇬🇭 - 1914
Togo🇹🇬 - 1926
Africa facts zone
Wewe ni mkorofi.Hakukuwa na Tanzania 1908. Tuwe wa kweli,
Tuseme ukweli, Unguja, Zanzibar.
Wakati huo miji yote ya Mashariki ya Afrika ilikuwa ni Zanzibar.
Usisahau hilo.
Umeweka maneno yako kwenye post yangu.Kilwa Masoko