Umeme ulianza kutumika Tanzania mwaka 1908 walishindwa vipi kuboresha mitambo madhubuti miaka yote hiyo?

Tanga - Mikindani ulikuwa mji. Kivuruge ni kivuruge tu!
 
Haikuwa Tanzania, ni Tanganyika!
 
Haikuwa Tanzania, ni Tanganyika!
Mjuaji usiyejua! Mjerumani hakuwahi kutawala nchi inaitwa Tanganyika, Bali muingereza ndiye aliyeita Tanganyika
Wakati huo ilikuwa deustch ostafrika
Au German east Africa ikiwa pamoja na Rwanda na Burundi za sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…