Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Baadhi ya maeneo?Tuliza wewe.. kigambon.. baadhi ya maeneo upo
Wewe bwegeNjoo mlimani city samaki samaki uangalizie football
We pimbi mkubwaUto bwana, kwa hiyo ukikatika ulipo ndio umekatika katika maeneo mengine.
Hasira za nini mzee, opt hiyo ya kuangalia kandanda, mie mwenyewe umekata nimeona nisogee hapo wana gen set.. na sitaki kosa mechi ya leo.. nakuwaje bwege ? mbona waatu wengi wanakuja kutazama mpira hapa ukiisha wana sepa ? stress za maisha mbali sana kila kitu unachukulia negativeWewe bwege
Hapo kwenu bia moja 7500 local beers. Uswazi unakula bia 5Hasira za nini mzee, opt hiyo ya kuangalia kandanda, mie mwenyewe umekata nimeona nisogee hapo wana gen set.. na sitaki kosa mechi ya leo.. nakuwaje bwege ? mbona waatu wengi wanakuja kutazama mpira hapa ukiisha wana sepa ? stress za maisha mbali sana kila kitu unachukulia negative
Kwetu mbona upo Mzee babaMabanda umiza yatajaa sana.
Kwa nini umeme unakatwa siku kama ya leo ya Jumamosi
Hivi nani mwenye dhamana na umeme wa Tanesco?
Sijazungumzia kunywa beer tupo tusio kunywa hata maji tunatazama tu mpira na ukiisha tunasepa,Hapo kwenu bia moja 7500 local beers. Uswazi unakula bia 5
Kwenu wapi?Kwetu mbona upo Mzee baba
Nchi nzima? Una uhakika? Hapa upoMabanda umiza yatajaa sana.
Kwa nini umeme unakatwa siku kama ya leo ya Jumamosi
Hivi nani mwenye dhamana na umeme wa Tanesco?