Umeme umekatika Tanzania nzima. Mechi ya Yanga na Geita Gold tutaitazama vipi?

Umeme umekatika Tanzania nzima. Mechi ya Yanga na Geita Gold tutaitazama vipi?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mabanda umiza yatajaa sana.

Kwa nini umeme unakatwa siku kama ya leo ya Jumamosi

Hivi nani mwenye dhamana na umeme wa Tanesco?
 
Hasira za nini mzee, opt hiyo ya kuangalia kandanda, mie mwenyewe umekata nimeona nisogee hapo wana gen set.. na sitaki kosa mechi ya leo.. nakuwaje bwege ? mbona waatu wengi wanakuja kutazama mpira hapa ukiisha wana sepa ? stress za maisha mbali sana kila kitu unachukulia negative
Hapo kwenu bia moja 7500 local beers. Uswazi unakula bia 5
 
Back
Top Bottom