Umeme umekatika Tanzania nzima. Mechi ya Yanga na Geita Gold tutaitazama vipi?

Umeme umekatika Tanzania nzima. Mechi ya Yanga na Geita Gold tutaitazama vipi?

Ina maana wana JamiiForums wote wanaishi Dar kasoro mimi!?[emoji276]sasa mtu anacomment njoo mlimani city ucheki mpira yaani nitoke singida nije hapo mlimani city?
 
Kwani wewe kangala unaishi Tanzania nzima?
 
Yaan unasema Tanzania nzima as if uko Ushirombo,kabanga,nyamisati,kiberege na Majohe kwa ngozoma at the same time
 
Mabanda umiza yatajaa sana.

Kwa nini umeme unakatwa siku kama ya leo ya Jumamosi

Hivi nani mwenye dhamana na umeme wa Tanesco?
Kwa hiyo umezunguka Tanzania umegundua hakuna umeme kote?acha husda hizo
 
Watu wa dar mna shida si bure, umeme ukikatika kinondoni basi mnasema ni Tz nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom