Umeme wa Msumbiji unatokana na Maji ya Mto Ruvuma, ila Mkoa wa Mtwara ( Tanzania ) ulio Jirani na Mto kuna shida ya Umeme

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Huwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%.

Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo wa Mtwara ( Tanzania ) kuna Utajiri mkubwa wa Gesi ya Asili ambao unaingia kwa 60% katika Gridi ya Taifa lakini bado hapo hapo utokako ( Mtwara ) bado kuna shida Kubwa ya Umeme.

Uwe tu na Ziara Njema huko Mtwara.
 
Tatizo letu sio ujinga tu bali serikali inalea sana majizi na watu wasiowajibika na kazi zao
Kuna watu hawajali kabisa hii nchi na wanastahili kifungo cha maisha au kifo maana ni uhaini
Hiyo option ya Wao Kuuwawa ( Kunyongwa) ninakubaliaa nayo tena kwa 100% na natamani ianze hata leo na GENTAMYCINE nipewe JUKUMU hilo ambalo kwa UZALENDO Wangu mkubwa kwa Tanzania na UCHUNGU mwingi nilionao kwa MAFISADI ( WEZI ) wa Rasilimali Keki za Tanzania nitaifanya kwa USTADI mkubwa na KIUWELEDI kabisa.

Kudadadeki.....!!
 
Huwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%.

Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo wa Mtwara ( Tanzania ) kuna Utajiri mkubwa wa Gesi ya Asili ambao unaingia kwa 60% katika Gridi ya Taifa lakini bado hapo hapo utokako ( Mtwara ) bado kuna shida Kubwa ya Umeme.

Uwe tu na Ziara Njema huko Mtwara.
Sasa ndugu yangu si tulishakubaliana kabisaa kuwa tumechoka sasa hivi ni move lile la azamu ndio linaendelea
 
Hiyo ndio Tanzania Mwanza wanashida ya maji safi ya kunywa wakati ziwa kubwa kuliko yote Africa lipo kwao
Halafu aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump alipotutukana Waafrika eti tukajifanya Kumshutumu wakati kwa wenye Akili tulijua kuwa alikuwa sahihi 100% na Binafsi kama ( GENTAMYCINE ) ambayo namfolo X ( zamani Twitter ) nilimpongeza na kumtaka aendelee tu Kututukana Miafrika na Ujuha Wetu wa Asili.
 
Huwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%.

Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo wa Mtwara ( Tanzania ) kuna Utajiri mkubwa wa Gesi ya Asili ambao unaingia kwa 60% katika Gridi ya Taifa lakini bado hapo hapo utokako ( Mtwara ) bado kuna shida Kubwa ya Umeme.

Uwe tu na Ziara Njema huko Mtwara.
Nilikwenda Mwadui na kuishi ndani ya mgodi. Kipindi kile palikuwa pazuri yaani utafikiri upo Niu Yoki. Shule safi. Nyumba nzuri. Bustani. Maua. Hospitali. Palikuwa pazuri mno! Halafu kila wiki ndege ya De Beers inatua pale na kuchukua almasi kuzipeleka Afrika Kusini.

Cha ajabu sasa ukitoka tu nje ya mgodi unakutana na Wasukuma waliochoka mbaya. Mpaka mtu unabaki unajiuliza hivi sisi watu weusi tatizo letu hasa ni nini?
 
Nilikwenda Mwadui na kuishi ndani ya mgodi. Kipindi kile palikuwa pazuri yaani utafikiri upo Niu Yoki. Shule safi. Nyumba nzuri. Bustani. Maua. Hospitali. Palikiwa pazuri mno! Halafu kila wiki ndege ya De Beers inatua pale na kuchukua almasi kuzipeleka Afrika Kusini.

Cha ajabu sasa ukitoka tu nje ya mgodi unakutana na Wasukuma waliochoka mbaya. Mpaka mtu unabaki unajiuliza hivi sisi watu weusi tatizo letu hasa ni nini?
Tatizo letu ni Upumbavu ( Upopoma ) wa Asili. Nakuomba kitafute Kitabu Titled What's Africa Problem kimeandikwa na Yoweri Museveni ( sasa Rais wa Uganda ) na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuandika Foreword yake utapata Majibu yote Tukuka ya kwanini Waafrika tumechelewa, tunaendelea kuchelewa na bado tuna Upumbavu mwingi hadi leo ( sasa ) sawa?
 
Hiyo option ya Wao Kuuwawa ( Kunyongwa) ninakubaliaa nayo tena kwa 100% na natamani ianze hata leo na GENTAMYCINE nipewe JUKUMU hilo ambalo kwa UZALENDO Wangu mkubwa kwa Tanzania na UCHUNGU mwingi nilionao kwa MAFISADI ( WEZI ) wa Rasilimali Keki za Tanzania nitaifanya kwa USTADI mkubwa na KIUWELEDI kabisa.

Kudadadeki.....!!
Kwa taarifa nikizozipata kutoka Gereza la Isanga kwa sasa nafasi ya Mnyongaji ipo wazi. Karibu sana Dodoma na nina hakika utapata ajira bila tatizo kwani ni mojawapo wa kazi ambazo zinahitaji ujasiri mwingi kama ulionao wewe.
 
Hiyo nafasi inaombwaje ikiwa mtu ni raia sio Askari ?

Weka utaratibu watu wanahitaji hii kazi.

Ndugu KUTATABHETAKULE
 
Mtwara Kuna Shida Ya Maji Ya Kunywa Mpaka Umeme
Zaidi Kuna Kangomba Tu Msimu Wa Korosho
 
Mi niliwaambia miaka mingi tu kuwa mfumo wa kiutawala unaotufaa kwa maendeleo ya kweli ni kama ule wa China au russia mkaqaaa, mkanibishia...
 
MKUU tatizo la viongozi wa Africa ni Pombe ya Madaraka ina Ulevi mkubwa sana.

Mfano pale Zimbabwe Bw mnangagwa kajaza mpaka mpwa wake kwenye nafasi nyeti mbali na Kijana wake.

Sasa kulikua na haja gani ya kumtoa MZEE Yongwee? Ni x 10 ya Mzee Yongwee kuliko Bw mnangagwa.

Waarabu wametushinda na wao wana Rathilimali ya Mafuta Tu! Wakati sisi tumezungukwa na utajiri wa kutisha kabisa miaka 60 Ya Uhuru nchi bado ina mgao wa Umeme Hatari sana.
 
Kwa taarifa nikizozipata kutoka Gereza la Isanga kwa sasa nafasi ya Mnyongaji ipo wazi. Karibu sana Dodoma na nina hakika utapata ajira bila tatizo kwani ni mojawapo wa kazi ambazo zinahitaji ujasiri mwingi kama ulionao wewe.
[emoji1787][emoji1787]
 
Cahora Bassa Dam wanatoa maji mto Zambezi na si mto Ruvuma....

I am right compatriot?!!!
 
Nyingine ni sababu za KIUSALAMA(previously)....

Mapambano ya Mreno na wazalendo wa Msumbiji yalifanya majirani tusiweze kuwekeza pakubwa kuzunguka mto Ruvuma.....inawezekana hicho kitisho hakuna kwa sasa ila bado Msumbiji si nchi tulivu kama Tanzania.....

Leo tunaona MAGAIDI wakipambana na dola lao huko Mocimboa Da Praia na Cabo Delgado......

Hayati JKN alikuwa na akili sana sana....

Bado anabaki kuwa kiongozi mwenye akili kuzidi wote waliopata kutokea barani Afrika [emoji120]

#Siempre El Commandante JKN ,amen[emoji120]
 
Huwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%.

Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo wa Mtwara ( Tanzania ) kuna Utajiri mkubwa wa Gesi ya Asili ambao unaingia kwa 60% katika Gridi ya Taifa lakini bado hapo hapo utokako ( Mtwara ) bado kuna shida Kubwa ya Umeme.

Uwe tu na Ziara Njema huko Mtwara.
Chama kikitawala zaidi ya miaka 40 uanza kutumia mazoea
 
Back
Top Bottom