Umeme wa Msumbiji unatokana na Maji ya Mto Ruvuma, ila Mkoa wa Mtwara ( Tanzania ) ulio Jirani na Mto kuna shida ya Umeme

Umeme wa Msumbiji unatokana na Maji ya Mto Ruvuma, ila Mkoa wa Mtwara ( Tanzania ) ulio Jirani na Mto kuna shida ya Umeme

Nilikwenda Mwadui na kuishi ndani ya mgodi. Kipindi kile palikuwa pazuri yaani utafikiri upo Niu Yoki. Shule safi. Nyumba nzuri. Bustani. Maua. Hospitali. Palikuwa pazuri mno! Halafu kila wiki ndege ya De Beers inatua pale na kuchukua almasi kuzipeleka Afrika Kusini.

Cha ajabu sasa ukitoka tu nje ya mgodi unakutana na Wasukuma waliochoka mbaya. Mpaka mtu unabaki unajiuliza hivi sisi watu weusi tatizo letu hasa ni nini?
Nende geita msoma kahama urian,guru kaangali watu walivio choka alafu uangalie dhahabu inayo pakiwa kila siku,tuzilamu sana ngozi nyeusi lamuhimu ccm ipishe kwanza tuweke sura mpiya tuone
 
Tatizo letu ni Upumbavu ( Upopoma ) wa Asili. Nakuomba kitafute Kitabu Titled What's Africa Problem kimeandikwa na Yoweri Museveni ( sasa Rais wa Uganda ) na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuandika Foreword yake utapata Majibu yote Tukuka ya kwanini Waafrika tumechelewa, tunaendelea kuchelewa na bado tuna Upumbavu mwingi hadi leo ( sasa ) sawa?
Huyo ms7 na yerere hicho kitabu kimewataja vipi?
 
Back
Top Bottom