GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hiyo option ya Wao Kuuwawa ( Kunyongwa) ninakubaliaa nayo tena kwa 100% na natamani ianze hata leo na GENTAMYCINE nipewe JUKUMU hilo ambalo kwa UZALENDO Wangu mkubwa kwa Tanzania na UCHUNGU mwingi nilionao kwa MAFISADI ( WEZI ) wa Rasilimali Keki za Tanzania nitaifanya kwa USTADI mkubwa na KIUWELEDI kabisa.Tatizo letu sio ujinga tu bali serikali inalea sana majizi na watu wasiowajibika na kazi zao
Kuna watu hawajali kabisa hii nchi na wanastahili kifungo cha maisha au kifo maana ni uhaini
I agree with you 100% Chief.Waafrika hasa watanzania wana Upumbavu wa milele.
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Ngozi nyeusi ina upumbavu wa milele.
Sasa ndugu yangu si tulishakubaliana kabisaa kuwa tumechoka sasa hivi ni move lile la azamu ndio linaendeleaHuwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%.
Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo wa Mtwara ( Tanzania ) kuna Utajiri mkubwa wa Gesi ya Asili ambao unaingia kwa 60% katika Gridi ya Taifa lakini bado hapo hapo utokako ( Mtwara ) bado kuna shida Kubwa ya Umeme.
Uwe tu na Ziara Njema huko Mtwara.
Halafu aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump alipotutukana Waafrika eti tukajifanya Kumshutumu wakati kwa wenye Akili tulijua kuwa alikuwa sahihi 100% na Binafsi kama ( GENTAMYCINE ) ambayo namfolo X ( zamani Twitter ) nilimpongeza na kumtaka aendelee tu Kututukana Miafrika na Ujuha Wetu wa Asili.Hiyo ndio Tanzania Mwanza wanashida ya maji safi ya kunywa wakati ziwa kubwa kuliko yote Africa lipo kwao
Nilikwenda Mwadui na kuishi ndani ya mgodi. Kipindi kile palikuwa pazuri yaani utafikiri upo Niu Yoki. Shule safi. Nyumba nzuri. Bustani. Maua. Hospitali. Palikuwa pazuri mno! Halafu kila wiki ndege ya De Beers inatua pale na kuchukua almasi kuzipeleka Afrika Kusini.Huwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%.
Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo wa Mtwara ( Tanzania ) kuna Utajiri mkubwa wa Gesi ya Asili ambao unaingia kwa 60% katika Gridi ya Taifa lakini bado hapo hapo utokako ( Mtwara ) bado kuna shida Kubwa ya Umeme.
Uwe tu na Ziara Njema huko Mtwara.
Tatizo letu ni Upumbavu ( Upopoma ) wa Asili. Nakuomba kitafute Kitabu Titled What's Africa Problem kimeandikwa na Yoweri Museveni ( sasa Rais wa Uganda ) na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuandika Foreword yake utapata Majibu yote Tukuka ya kwanini Waafrika tumechelewa, tunaendelea kuchelewa na bado tuna Upumbavu mwingi hadi leo ( sasa ) sawa?Nilikwenda Mwadui na kuishi ndani ya mgodi. Kipindi kile palikuwa pazuri yaani utafikiri upo Niu Yoki. Shule safi. Nyumba nzuri. Bustani. Maua. Hospitali. Palikiwa pazuri mno! Halafu kila wiki ndege ya De Beers inatua pale na kuchukua almasi kuzipeleka Afrika Kusini.
Cha ajabu sasa ukitoka tu nje ya mgodi unakutana na Wasukuma waliochoka mbaya. Mpaka mtu unabaki unajiuliza hivi sisi watu weusi tatizo letu hasa ni nini?
Kwa taarifa nikizozipata kutoka Gereza la Isanga kwa sasa nafasi ya Mnyongaji ipo wazi. Karibu sana Dodoma na nina hakika utapata ajira bila tatizo kwani ni mojawapo wa kazi ambazo zinahitaji ujasiri mwingi kama ulionao wewe.Hiyo option ya Wao Kuuwawa ( Kunyongwa) ninakubaliaa nayo tena kwa 100% na natamani ianze hata leo na GENTAMYCINE nipewe JUKUMU hilo ambalo kwa UZALENDO Wangu mkubwa kwa Tanzania na UCHUNGU mwingi nilionao kwa MAFISADI ( WEZI ) wa Rasilimali Keki za Tanzania nitaifanya kwa USTADI mkubwa na KIUWELEDI kabisa.
Kudadadeki.....!!
Hiyo nafasi inaombwaje ikiwa mtu ni raia sio Askari ?Kwa taarifa nikizozipata kutoka Gereza la Isanga kwa sasa nafasi ya Mnyongaji ipo wazi. Karibu sana Dodoma na nina hakika utapata ajira bila tatizo kwani ni mojawapo wa kazi ambazo zinahitaji ujasiri mwingi kama ulionao wewe.
[emoji1787][emoji1787]Kwa taarifa nikizozipata kutoka Gereza la Isanga kwa sasa nafasi ya Mnyongaji ipo wazi. Karibu sana Dodoma na nina hakika utapata ajira bila tatizo kwani ni mojawapo wa kazi ambazo zinahitaji ujasiri mwingi kama ulionao wewe.
Chama kikitawala zaidi ya miaka 40 uanza kutumia mazoeaHuwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%.
Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo wa Mtwara ( Tanzania ) kuna Utajiri mkubwa wa Gesi ya Asili ambao unaingia kwa 60% katika Gridi ya Taifa lakini bado hapo hapo utokako ( Mtwara ) bado kuna shida Kubwa ya Umeme.
Uwe tu na Ziara Njema huko Mtwara.