25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Nende geita msoma kahama urian,guru kaangali watu walivio choka alafu uangalie dhahabu inayo pakiwa kila siku,tuzilamu sana ngozi nyeusi lamuhimu ccm ipishe kwanza tuweke sura mpiya tuoneNilikwenda Mwadui na kuishi ndani ya mgodi. Kipindi kile palikuwa pazuri yaani utafikiri upo Niu Yoki. Shule safi. Nyumba nzuri. Bustani. Maua. Hospitali. Palikuwa pazuri mno! Halafu kila wiki ndege ya De Beers inatua pale na kuchukua almasi kuzipeleka Afrika Kusini.
Cha ajabu sasa ukitoka tu nje ya mgodi unakutana na Wasukuma waliochoka mbaya. Mpaka mtu unabaki unajiuliza hivi sisi watu weusi tatizo letu hasa ni nini?