ashidodi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 291
- 340
Habari zenu wapendwa wangu wa humu ndani, ninahitaji kufahamishwa kuhusu jitendo cha baadhi ya nguo kuzalisha umeme, kwamfano unaweza kuchukua shuka au nguo yoyote usiku gizani halafu ikatoa Cheche za moto. Jambo hili najua kila MTU alishakutana nalo. Nijuzeni kwakina halihiyo husababishwa na Niki?