that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 385
- 1,246
ko unataka kusema ni mimi mwenyewe au siokuna group upo au sio
utajua mwenyeweko unataka kusema ni mimi mwenyewe au sio
VAR imefanya chakeup vizuri sana anatumia jina zuri zuri na avatar nzuri kumbe ni mbibi alafu kavaa gauni la kinyakyusa?
Mhuuuu, kazi ipo.....alisema yupo kwenye kikao.Habarini za jioni,
Leo ni jumamosi harusi ni nyingi sana 😂. Wenye mahusiano yenu, je umempigia mpenzi wako leo unajua yuko wapi?
kuna group nipo mdada analia mwanaume wake kamuaga anasafiri kikazi kumbe kaenda kuoa kafanya kuona kwenye status ya mtu ambae anamjua (huyo mtu kampost bi harusi kumpongeza ) mdada ndo anaona bwana harusi ni babe wake aliemuaga anasafiri
Wapigieni wapenzi wenu msisubiri kupata mishituko….
Uzi tayari
kibibi cha kinyakyusa kwani kuna shidoVAR imefanya chakeup vizuri sana anatumia jina zuri zuri na avatar nzuri kumbe ni mbibi alafu kavaa gauni la kinyakyusa?