that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 385
- 1,246
Habarini za jioni,
Leo ni jumamosi harusi ni nyingi sana 😂. Wenye mahusiano yenu, je umempigia mpenzi wako leo unajua yuko wapi?
kuna group nipo mdada analia mwanaume wake kamuaga anasafiri kikazi kumbe kaenda kuoa kafanya kuona kwenye status ya mtu ambae anamjua (huyo mtu kampost bi harusi kumpongeza ) mdada ndo anaona bwana harusi ni babe wake aliemuaga anasafiri
Wapigieni wapenzi wenu msisubiri kupata mishituko….
Uzi tayari